Yule naye sionagi uzima ndani yake! Wakuhurumiwa!
Jamani leo nimejaribu kuchungulia nione kizota kuna ni pale nikamkuta msanii dokii akitoa burudani.yaani nilifadhaika sana na mfadhaiko huo uliniacha na maswali mengi pia..huyu dada alikuwa akikata viuno kama hana akili nzuri mbele ya viongozi wa taifa wenye imani tofauti haswaa za kidini ambao wameshika dini sana..me nimekwazwa na uchezaji wake na wanawake waliokuwa eneo lile wengi wao walijishika midomo huku wameinamisha vichwa vyao chini ishara ya kuhamaki wanachokiona...jamani wasanii angalieni mnatoa wapi burudani na sio kujichetua mbele ya kadamnasi yenye watu wa rika tofauti na imani tofauti..
haya sasa ngoja tuone
fyi sio kila kanisa uonalo ni kanisa dada wewe kwa taarifa tuwatu wanakata viuno makanisani itakua hapo kwenye magamba.!!
wewe wa wapi sindimba na mdundiko vinavaliwa tentementee?. .hivi mkicheza sindimba au mdundiko hamkati viuno? .
wewe wa wapi sindimba na mdundiko vinavaliwa tentementee?
sijasema makanisa yote,na sijataja hata kanisa moja. Labda ungeniuliza ni kanisa gani wanalokata viuno....? Na aliekwambia mimi dada yako ni nani.?fyi sio kila kanisa uonalo ni kanisa dada wewe kwa taarifa tu
sijasema makanisa yote,na sijataja hata kanisa moja. Labda ungeniuliza ni kanisa gani wanalokata viuno....? Na aliekwambia mimi dada yako ni nani.?
mkuu tupe hata kwa kudodosa tumali ya mtu mkubwa sana nji hii ina maana hamjui...he:becky:
Sasa mbona unaanza kukasirika idawa ..?? Kwani kuna kosa kuwa ndugu yake...hahahahahahhaha
utakubali mtu aku quote kwa KE wakati wewe ni ME.?Mimi ni ME..
si alikuwa ameokoka?