Dokii, msanii wewe umechemshaaa

Dokii, msanii wewe umechemshaaa

Jamani leo nimejaribu kuchungulia nione kizota kuna ni pale nikamkuta msanii dokii akitoa burudani.yaani nilifadhaika sana na mfadhaiko huo uliniacha na maswali mengi pia..huyu dada alikuwa akikata viuno kama hana akili nzuri mbele ya viongozi wa taifa wenye imani tofauti haswaa za kidini ambao wameshika dini sana..me nimekwazwa na uchezaji wake na wanawake waliokuwa eneo lile wengi wao walijishika midomo huku wameinamisha vichwa vyao chini ishara ya kuhamaki wanachokiona...jamani wasanii angalieni mnatoa wapi burudani na sio kujichetua mbele ya kadamnasi yenye watu wa rika tofauti na imani tofauti..

Mauno yake yalikupa mfadhaiko? huo ukame wako inabidi uwe makini usije kubaka watoto wa watu!
 
haya sasa ngoja tuone

attachment.php
 
watu wanakata viuno makanisani itakua hapo kwenye magamba.!!
 
fyi sio kila kanisa uonalo ni kanisa dada wewe kwa taarifa tu
sijasema makanisa yote,na sijataja hata kanisa moja. Labda ungeniuliza ni kanisa gani wanalokata viuno....? Na aliekwambia mimi dada yako ni nani.?
 
sijasema makanisa yote,na sijataja hata kanisa moja. Labda ungeniuliza ni kanisa gani wanalokata viuno....? Na aliekwambia mimi dada yako ni nani.?


Sasa mbona unaanza kukasirika idawa ..?? Kwani kuna kosa kuwa ndugu yake...hahahahahahhaha
 
Last edited by a moderator:
dah hiyo picha na kapuya khaaa, way out of touch! Huyo dokii hata aibu haoni
 
we kweli kalagabaho, husomi majina kwanza? alopost hiyo ni Joyce Paul, she's a woman man
 
Back
Top Bottom