Dokta Amzuia Aunty kujifungulia Marekani

Dokta Amzuia Aunty kujifungulia Marekani

Ndiyo kazaliwa kule , hata ww binamu kama una pesa yako wife akipata ujauzito unamkimbizia kule akizaa tu mtoto anapewa urahia anapata passport yake unarudi bongo, lolote mbeleni likitokea dogo anatimba zakrle US akasome bure nk....Hao mafisadi wote wake zao na vimada wanazalia marekani sababu ya karatasi

Kwa iyo unataka kunambia jokate ana uraia wa marekani?
Wajuvi wa mambo naomba mnijuze.
Nilidhani kigezo sio kuzaliwa kule tu bali kuzaliwa na kuishi kule....
Ngoja na mie nikajifungulie kule.
 
Kuna baba mtoto ana pesa kama vuzi la mwendawazimu, mose iyobo ni baba mlezi kuna baba mzazi , kwa kimombo👉👉👉 there is biological father....

Sio mzee wa wanyama kweli?
Sasa naanza kuamini.
 
Tanzania ina sheria ya kuruhusu double nationality?

1: Sugu ana uraia wa marekani na tz!

2: Mh Membe ana uraia wa Canada na Tanzania

3: Mh Leticea Nyerere ana uraia wa Marekani na Tanzania

4: Mh Nyalandu ana uraia wa Marekani na Tanzania

Aunt ezekiel ningemshauri angewahi angeenda hata Pakistani mtoto awe na uraia wa huko!
 
Kuna jirani yangu apa mke wake alikuwa ana hamu kweli ya kujifungulia marekani, mpaka akaenda kumbe ndo janja yao? KWa hyo jokate nae mmarekani?

Ndio hivyo

Wengine sie tumewazalia hukoooooooo

Ni kama mtu una nafasibya kufanya hivyo unafanya, ila lazima ujue mambo yanafanyikaje...wengine ujionyesha airport kuwa ndilo wanalotaka kwenda kufanya na hukataliwa na airlines.
 
Huyu hafanyi biashara ya poda kweli? Maisha ya vigodoro yanatosha kwenda marekani kwa ajili ya kujifungua tu au ni gharama ya wanyama wetu.

mimba aliipatia marekani na mzee wa mbuga zetu
 
get your facts together..
alizaliwa Washington DC..(kumbuka,Baada ya kufikisha miaka 18 unakuwa na haki ya kuchagua uwe raia wa wapi)..Tanzania hairuhusu uraia pacha,Je aliwezaje kushiriki mashindano ya Urembo kuanzia ngazi za chini mpaka ya kitaifa kama ni raia wa Marekani?

Baba yake si alikua balozi waTz au
 
Cheusi dawa nae kwa kupenda makubwa, sasa ukijifungulia marekani ndo mtoto atakuwa mzungu au nfyuuu

Huyo maisha yake y shida tu mtu huwa anatenda kwanza then wa2 nae mtamu.hao bongomovie akishika 10m yke tu mjini mzima utajua kua kahongwa yeye akazalie palestina hosp au mwananyamala hosp
 
Baba yake si alikua balozi waTz au
......................
Joketi alizaliwa Washington DC nchini Marekani mwaka 1987 ambako wazazi wake walikuwa wakifanyia kazi.Primary amesoma Olympio Primary School,Dar-es-Salaam. Secondary amesoma St.Anthony's Secondary School na High school amesomea Loyola High School, na alimemaliza Chuo Kikuu cha Dar es salaam katika Political Science.

Mwaka 2006 alishika nafasi ya pili (2) katika Miss Tanzania, na mbali na kuwa mcheza cinema Joketi amekuwa akijishughulisha katika Mavazi, Master of Ceremony (MC), Mwimbaji na Maendeleo ya wanawake, TV host / na shows mbalimbali za kijamii
 
Lundenga huyu huyu ndio akague vyeti..teh teh teh...

Vyeti hivi hivi vinavyogawiwa RITA

get your facts together..
alizaliwa Washington DC..(kumbuka,Baada ya kufikisha miaka 18 unakuwa na haki ya kuchagua uwe raia wa wapi)..Tanzania hairuhusu uraia pacha,Je aliwezaje kushiriki mashindano ya Urembo kuanzia ngazi za chini mpaka ya kitaifa kama ni raia wa Marekani?
 
get your facts together..
alizaliwa Washington DC..(kumbuka,Baada ya kufikisha miaka 18 unakuwa na haki ya kuchagua uwe raia wa wapi)..Tanzania hairuhusu uraia pacha,Je aliwezaje kushiriki mashindano ya Urembo kuanzia ngazi za chini mpaka ya kitaifa kama ni raia wa Marekani?

Are you her PR? Kushiriki mashindano sio kigezo miss wenu mzee alishirikije mashindano wakati umri wake ulizidi miaka inayotakiwa plus Ana mtoto mkubwa tu

P.S pia inawezekana aliombewa passport ya USA na baadaye alipotaka kuomba ya wabongo wazazi wakafyatua ya bongo, mambo ya kumiliki passport ya tanzania na ya nchi nyingine nikawaida, mbona watu wana uraia wa usa wanamiliki passport za bongo Na wana vitambulisho vya kupiga kula wakati ni wabongo lLkn kusafiri kwenda usa wanatumia za usa, MJINI MIPANGO

##BY THE WAY MBONA POVU LINAKUTOKA SANA KUHUSU JOKATE!
 
Back
Top Bottom