Dokta Amzuia Aunty kujifungulia Marekani

k kweli ina thamani....wauza ngada kibao wameibanjua ....mr tembo kapiga kavu
 

Kwa iyo unataka kunambia jokate ana uraia wa marekani?
Wajuvi wa mambo naomba mnijuze.
Nilidhani kigezo sio kuzaliwa kule tu bali kuzaliwa na kuishi kule....
Ngoja na mie nikajifungulie kule.
 
Kuna baba mtoto ana pesa kama vuzi la mwendawazimu, mose iyobo ni baba mlezi kuna baba mzazi , kwa kimombo👉👉👉 there is biological father....

Sio mzee wa wanyama kweli?
Sasa naanza kuamini.
 
Tanzania ina sheria ya kuruhusu double nationality?

1: Sugu ana uraia wa marekani na tz!

2: Mh Membe ana uraia wa Canada na Tanzania

3: Mh Leticea Nyerere ana uraia wa Marekani na Tanzania

4: Mh Nyalandu ana uraia wa Marekani na Tanzania

Aunt ezekiel ningemshauri angewahi angeenda hata Pakistani mtoto awe na uraia wa huko!
 
Kuna jirani yangu apa mke wake alikuwa ana hamu kweli ya kujifungulia marekani, mpaka akaenda kumbe ndo janja yao? KWa hyo jokate nae mmarekani?

Ndio hivyo

Wengine sie tumewazalia hukoooooooo

Ni kama mtu una nafasibya kufanya hivyo unafanya, ila lazima ujue mambo yanafanyikaje...wengine ujionyesha airport kuwa ndilo wanalotaka kwenda kufanya na hukataliwa na airlines.
 
Huyu hafanyi biashara ya poda kweli? Maisha ya vigodoro yanatosha kwenda marekani kwa ajili ya kujifungua tu au ni gharama ya wanyama wetu.

mimba aliipatia marekani na mzee wa mbuga zetu
 

Baba yake si alikua balozi waTz au
 
Cheusi dawa nae kwa kupenda makubwa, sasa ukijifungulia marekani ndo mtoto atakuwa mzungu au nfyuuu

Huyo maisha yake y shida tu mtu huwa anatenda kwanza then wa2 nae mtamu.hao bongomovie akishika 10m yke tu mjini mzima utajua kua kahongwa yeye akazalie palestina hosp au mwananyamala hosp
 
Baba yake si alikua balozi waTz au
......................
 
Lundenga huyu huyu ndio akague vyeti..teh teh teh...

Vyeti hivi hivi vinavyogawiwa RITA

 

Are you her PR? Kushiriki mashindano sio kigezo miss wenu mzee alishirikije mashindano wakati umri wake ulizidi miaka inayotakiwa plus Ana mtoto mkubwa tu

P.S pia inawezekana aliombewa passport ya USA na baadaye alipotaka kuomba ya wabongo wazazi wakafyatua ya bongo, mambo ya kumiliki passport ya tanzania na ya nchi nyingine nikawaida, mbona watu wana uraia wa usa wanamiliki passport za bongo Na wana vitambulisho vya kupiga kula wakati ni wabongo lLkn kusafiri kwenda usa wanatumia za usa, MJINI MIPANGO

##BY THE WAY MBONA POVU LINAKUTOKA SANA KUHUSU JOKATE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…