Yani nimecheka Sana eti bongo movie wakapange foleni muhimbili ila jamni nachoshangaa mtu mimba ikiiwa kubwa Sana huruhusiwi kusafri inamaana alikua hajui au hawa bongo movie full drama tu
kwakweli tangu nimuone ana kitumbo ni muda sanaMWenzangu cjui kabeba mbuzi maana nahis mwez wa 11 huu
Kwani aliaga sasa? Chezeya kwenda ulaya nn
Jokate alizaliwa Washington
Iam not sensitive at all, i was just curious the way you was tryna prove ya point , by using extra force like al shabab in Garisa #eidhot
Are you her PR?
#BY THE WAY MBONA POVU LINAKUTOKA SANA KUHUSU JOKATE!
Amuulize seky walivyomfanya... nimesikia umbea lulu kakamatwa airport alikuwa anatoroka sijui kweli
By the way ,I have prove that english was your favourate subject at kayumba school is there )))))anything else u wanna add up so we can finish this league of your own rather than fillin' up the thread with rubish?
Mmh ukistaajabu ya baba mlezi wa mimba ya zari utayaona ya baba mlezi wa aunty moze iyobo
Ahahha mujini raha binamuuu
hiyo mimba mi naona imekaa muda mrefu kama ya tembo
Amuulize seky walivyomfanya... nimesikia umbea lulu kakamatwa airport alikuwa anatoroka sijui kweli
Lakin si wanasema ukizaliwa ubalozi wa Tanzania we ni mtanzania tu
Ukizaliwa na mzazi ambaye ni diplomat basi unapoteza ile haki ya kupewa uraia wa kuzaliwa wa Marekani....
Kama baba yake alikuwa ni diplomat basi huyo binti hana uraia wa Marekani wa kuzaliwa...
Nakwambiaaa!
Wamempiga na picha.Nadhani alikua anamsindikiza mtu labda.
ha ha ha tunamngoja iyobonyalanduHaa! Mimba ya pundamilia wa serengeti