Dokta Amzuia Aunty kujifungulia Marekani

what kind of curiosity is this..?with use of derogatory remarks!!.



you should stop overreacting when it comes to being corrected...or else counter argue with sanity thoughts...

mamakibunju ni mmoja kati ya members wachache ninaowafahamu, ni mwanamke smart sana na mambo safi, inshort sio mwanamke wa kawaida yuko vzur hadi namuogopa ahahah japokuwa yeye hajui kama namjua
 
Last edited by a moderator:
EEh nisije nikaambiwa nimekosea ni Washington ya capital letter na sio small letter, we binamu kiboko

Hhhaaa kuna mtu kala ban sasa nikakimbilia kukutafuta nilijua ni wewe
 
Duh!!! Hili sikuwa nalijua...

Kwa kifupi watu tunaowapa uraia wa Tanzania hawapotezi uraia wa nchi yao kama hiyo nchi inatambua uraia wa zaidi ya nchi moja, unless and until watu hao waukatae uraia wa nchi yao kwa kutuma maombi rasmi kwenye nchi yao na siyo nchi ya Tanzania.
 
Acheni usegere hivi Iyobo ana uwezo gani wa kumpeleka Aunty marekani, kuna kigogo anafichwa hapa...! Kwendere zenu

Jaman nshakuwa mseng tena? Mimi nimeleta Topic kwa niaba ya she gongo
 

Muiteni lemutuz atufafanulie, maana yeye kaishi marekani miaka 7 atakuwa anajua sheria vzur Dinazarde Tyta mamakibunju
 
Last edited by a moderator:
Kwa kifupi watu tunaowapa uraia wa Tanzania hawapotezi uraia wa nchi yao kama hiyo nchi inatambua uraia wa zaidi ya nchi moja, unless and until watu hao waukatae uraia wa nchi yao kwa kutuma maombi rasmi kwenye nchi yao na siyo nchi ya Tanzania.

Halafu, suala wala si kutambua rasmi uraia zaidi ya mmoja.

Nadhani Marekani haina stated policy wala sheria ya uraia pacha.

Bali kama wewe ni raia wa Marekani kwa kuzaliwa hata ukichukua uraia wa kwingine, huo uzawa wako ni haki yako ya msingi tena isiyoondoleka labda uamue kuuacha mwenyewe kwa hiari yako.

Na kwa msingi huo ndo unakuta raia wa Marekani anaweza kuwa na uraia wa nchi nyingine pia.

Sasa hiyo haimaanishi hakuna sheria zingine zinazowabana watu wenye uraia zaidi ya ule wa Marekani.

Huku kwetu dhana nzima ya haki za msingi bado sana kueleweka.
 
Reactions: EMT
mamakibunju ni mmoja kati ya members wachache ninaowafahamu, ni mwanamke smart sana na mambo safi, inshort sio mwanamke wa kawaida yuko vzur hadi namuogopa ahahah japokuwa yeye hajui kama namjua

Asante Binamuuuuu, ukipata urais unikumbuke uwaziri wa habari na michezo kama ukishindwa kabisa Ukuu wa Mkoa basi..!

P.S ...MIMI NI YULE YULE TULIYESOMA NAWE KIDATO KIMOJA AAAH AAH AAH.. warumi
 
Last edited by a moderator:
Yes, but there is a loopehole which makes children of diplomats born in America to become "American super citizens" na kuwa na haki hata kupita raia wa kawaida wa Marekani. Soma hii.
i like how you counter argue,making it a healthy and educative post..
the term ''American Super Citizens'' as used by ''FOX News''/daily mail(depending on primary source) has more to do with style of journalism rather than what's actually written/stated in their constitution.Ni manjonjo ya uandishi tu.Or is there any part in their constitution that vividly states that and differentiate between a super citizen and a normal citizen?

Birthright loophole grants diplomat children born in U.S. 'super citizen' status

Children born to diplomats working in the U.S. can enjoy full citizenship but are not subject to American laws, according to a new report.
''enjoy'' what is practically done/how the child is treated but not what the law state/wants


The controversial 'loophole' means that as long as their parents remain working as diplomats in the U.S. they enjoy a 'super citizen' status, according to the Center for Immigration Studies.
you know when something is ''controversial'',it is likely to give rise to public disagreement because it is not clear.

According to the report's author Jon Feere: 'Children of diplomats who receive U.S. birth certificates and social security numbers (SSNs) have greater rights and protections than the average U.S. citizen.'
anyone can reason this as it has more to do with maintaining the diplomatic relation between the countries....Diplomats getting more previleges than ordinary citizens is common in many countries worlwide..they just differ interms of ''what kind of previlege''

that is as per the US Govt official and how the law works and interpreted..
this is what is done due to loopholes which still doesnt conclude ''the super citizen'' is ''A US citizen''

all i see here is confusing to interprete as result of ''controversial loopholes'' which doesnt remove a fact that the ''diplomat baby'' is still not a ''US citizen''(as per the official`s statement...)

Speaking to Fox Immigration attorney Toni Maschler argued that while the 'super citizen' issue does exist,
note carefully the opening and closing quotation marks used by the news source.

it is a rare occurrence
see that,in practical,it is barely there....
a wise piece of advice to those who would try to use the so called ''loopholes'' to their advantage...

niruhusu nikalale nina game(nba)ya kucheki usiku mkali....
 
EEh nisije nikaambiwa nimekosea ni Washington ya capital letter na sio small letter, we binamu kiboko

tehteh..si unajitetea button ya ''caps lock'' imeharibika....
 
mamakibunju ni mmoja kati ya members wachache ninaowafahamu, ni mwanamke smart sana na mambo safi, inshort sio mwanamke wa kawaida yuko vzur hadi namuogopa ahahah japokuwa yeye hajui kama namjua

kama sikufahamu,huwa najibu kulingana na jinsi ulivyokuja...I honor you with dignity if you deserve so.....Tehteh.. usijali mkuu,siweki moyoni,next time naweza hata mpatia ''rep'' if she deserves..
 

Akaa! Ya kweli haya?!😯
Makubwa...Kweli tembelea JF ujue mambo.
 
the term ''American Super Citizens'' as used by ''FOX News''/daily mail(depending on primary source) has more to do with style of journalism rather than what's actually written/stated in their constitution.Ni manjonjo ya uandishi tu.

Siyo manjonjo ya uandishi bali hiyo phrase inajulikana sana tuu. Haikuwa invented na FOX News'/daily mail. In law, wanaposema you are a "super citizen" ina maana kuwa uko juu ya sheria.

As Jon Feere, the Legal Policy Analyst at the American Center for Immigration Studies, put it "Children of diplomats who receive U.S. birth certificates and SSNs have greater rights and protections than the average U.S. citizen because they can enjoy all of the benefits of U.S. citizenship, but also invoke diplomatic immunity if they break a law. A lack of direction from Congress has created what one might consider a "super citizen" who is above the law."

Or is there any part in their constitution that vividly states that and differentiate between a super citizen and a normal citizen?

Siyo lazima katiba iandike. Kinachosemwa na ambacho haki-make sense ni kuwa watoto wa hao diplomats wanapewa uraia wa Marekani halafu hapo hapo they are not subject to the American laws. There is a difference between law and what actually happens in practice. Na kama katiba ingekuwa inatuambua kati normal citizen na super citizen, then kusingekuwa na hiyo loophole.

you know when something is ''controversial'',it is likely to give rise to public disagreement because it is not clear.

But you can't have a controversy unless there is a contradiction. It is the contradiction which brings out a debate. Sasa hakuna contradiction kati ya sheria inayokataza kuwapa uraia watoto wa ma-diplomat na practice ambayo inawapa kiana uraia watoto hao?


If you are already a citizen of a particular country and living in that country, you're not entitled to diplomatic protection for the wrongs you committed under international law while in that country. You are the citizen of that country, so you should be subject to its law.

that is as per the US Govt official and how the law works and interpreted..

Since he is a government official ulitegemea jibu tofauti? Akubali?

this is what is done due to loopholes which still doesnt conclude ''the super citizen'' is ''A US citizen''
It is the loophole which creates what has been referred to as a "super citizen", meaning that despite being an American citizen, the child would still be regarded as not being subject to the American law because s/he is also subject to diplomatic protection.

all i see here is confusing to interprete as result of ''controversial loopholes'' which doesnt remove a fact that the ''diplomat baby'' is still not a ''US citizen''(as per the official`s statement...)

The confusion is between what the the law says and what actually happens in practice. Ni sawa na hapa Bongo tunajidai kuwa hatutambui uraia wa zaidi ya nchi moja wakati kuna raia kabao na wengine ni viongozi wana uraia wa zaidi ya nchi moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…