Dokta Amzuia Aunty kujifungulia Marekani

Dokta Amzuia Aunty kujifungulia Marekani

what kind of curiosity is this..?with use of derogatory remarks!!.

you should stop overreacting when it comes to being corrected...or else counter argue with sanity thoughts...

U must be Costa!
 
Hana haja ya ku-claim bse American citizenship is her entlement kwa sababu alizaliwa huko.

Kwa mujibu wa sheria za Marekani "A person wishing to renounce his or her U.S. citizenship must voluntarily and with intent to relinquish U.S. citizenship:
appear in person before a U.S. consular or diplomatic officer, in a foreign country (normally at a U.S. Embassy or Consulate); and. sign an oath of renunciation."

Kama hajafanya hivyo kuna uwezakano mkubwa bado ni Mmarekani hata kama ni Mtanzania.

Mkuu EMT na je ni kuzaliwa tu Marekani kunamfanya mtu kuwa raia wa Marekani au mpaka atimize miaka 18 akiishi huko?
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo kazaliwa kule , hata ww binamu kama una pesa yako wife akipata ujauzito unamkimbizia kule akizaa tu mtoto anapewa urahia anapata passport yake unarudi bongo, lolote mbeleni likitokea dogo anatimba zakrle US akasome bure nk....Hao mafisadi wote wake zao na vimada wanazalia marekani sababu ya karatasi

Last time I checked hatuna uraia wa nchi mbili. ... so either umiliki passport ya marekani ukane utanzania. .

Kama unaongelea GC ntakuelewa lakini passport umhh usitulishe pumba
 
Mbona watu hawaendi kujifungulia China?
China si ndio uchumi unapaa na nasikia wana maendeleo sana
 
Waafrika tuna akili za ajabu sana...wazee wetu walikuwa wanaona bora wafe kuliko kupelekwa utumwani...leo mwafrika anaona bora akafie utumwani..huu ni zaidi ya uwendawzimu...kuzaliwa marekani na kupangwa mafungu ya uraia kuna raha gani..??....kwa akili hizi hata wazungu wanatushangaa kwa uchizi wetu.....maana tunajirudisha sisi wenyewe utumwani tena kwa gharama zetu wenyewe kiasi kwamba mpaka wanyama wa porini wanatushangaa kwa ujinga....ambacho waafrika hawajui ni kwamba mtu mweupe hajawahi kumpenda mtu mweusi hata siku moja na hata mpenda mpka mwisho wa dunia..isipokuwa kwa unafiki tu lakini mioyoni mwao wanachuki kali nasi zaidi ya tunavyofikiria..utakimbiaje nchi yako...?.nchi ya mababu zako ambao walipoteza uhai wao kwa ajili kuwatimua wazungu ili wabaki huru na wewe unakimbilia huko huko kwa maadui wa mababu zako..,,??...huu ni usaliti wa hali ya juu....tuzijenge nchi zetu...hao mafisadi na viongozi wabovu hata huko ulaya walikuwapo...lakini wenzetu waliwatimua na kujenga nchi zao ambazo leo tunaziona pepo ndogo hapa duniani....kwanini na sisi tusifanye hivyo hapa kwenye ardhi yetu...??...cha ajabu sasa wakati sisi tunaona fahari kukimbilia huko...wazungu kila siku wanazaliwa bongo na kumiliki maeneo makubwa na kuwapa watoto zao....WAKE UP AFRICANS...
 
Siyo manjonjo ya uandishi bali hiyo phrase inajulikana sana tuu. Haikuwa invented na FOX News'/daily mail. In law, wanaposema you are a "super citizen" ina maana kuwa uko juu ya sheria.
BUT STILL HAIMAANISHI NI ''RAIA'' WA NCHI HUSIKA....

NI WAPI KATIKA HII KAULI IMEMGRANT CITIZENSHIP?I SEE ONLY A PREVILEGE...

Siyo lazima katiba iandike. Kinachosemwa na ambacho haki-make sense ni kuwa watoto wa hao diplomats wanapewa uraia wa Marekani halafu hapo hapo they are not subject to the American laws. There is a difference between law and what actually happens in practice. Na kama katiba ingekuwa inatuambua kati normal citizen na super citizen, then kusingekuwa na hiyo loophole.
HAKUNA URAIA ANAPEWA...THOSE PREVILEGES YOU CALL THEM ''URAIA''...NI RAIA GANI YOU ARE NOT SUBJECTED TO THE LAW OF ''YOUR COUNTRY''?

But you can't have a controversy unless there is a contradiction. It is the contradiction which brings out a debate. Sasa hakuna contradiction kati ya sheria inayokataza kuwapa uraia watoto wa ma-diplomat na practice ambayo inawapa kiana uraia watoto hao?
something debatable is not conclusive as far as it is known..let it be that way...

If you are already a citizen of a particular country and living in that country, you're not entitled to diplomatic protection for the wrongs you committed under international law while in that country. You are the citizen of that country, so you should be subject to its law.
which cleary shows the ''super status'' argument and where it comes from
Since he is a government official ulitegemea jibu tofauti? Akubali?
na kwanini akubali something unconstitutional,rather it is just a previlege?

It is the loophole which creates what has been referred to as a "super citizen", meaning that despite being an American citizen, the child would still be regarded as not being subject to the American law because s/he is also subject to diplomatic protection.
that doesnt conclusively and legalize an individual is now an American citizen

The confusion is between what the the law says and what actually happens in practice. Ni sawa na hapa Bongo tunajidai kuwa hatutambui uraia wa zaidi ya nchi moja wakati kuna raia kabao na wengine ni viongozi wana uraia wa zaidi ya nchi moja.
kinachotendwa na hakipo kwenye katiba hakijustify na kuhalalisha kitu..
 
hiyo mimba mi naona imekaa muda mrefu kama ya tembo

no best ndo mida yake hii
tena sasa ndo naanza kuamini mimba ya mzee wa utalii maana ukipiga hesabu walivyoendaga marekani kutangaza tembo jibu linakuja kabisaa kabisa

na kingine ana tumbo kubwa sana
 
no best ndo mida yake hii
tena sasa ndo naanza kuamini mimba ya mzee wa utalii maana ukipiga hesabu walivyoendaga marekani kutangaza tembo jibu linakuja kabisaa kabisa

na kingine ana tumbo kubwa sana
Yani nimecheka we Noma binamu
 
no best ndo mida yake hii tena sasa ndo naanza kuamini mimba ya mzee wa utalii maana ukipiga hesabu walivyoendaga marekani kutangaza tembo jibu linakuja kabisaa kabisa na kingine ana tumbo kubwa sana
ha ha ha mozee iyobo kumbe anasaidia
 
Waafrika tuna akili za ajabu sana...wazee wetu walikuwa wanaona bora wafe kuliko kupelekwa utumwani...leo mwafrika anaona bora akafie utumwani..huu ni zaidi ya uwendawzimu...kuzaliwa marekani na kupangwa mafungu ya uraia kuna raha gani..??....kwa akili hizi hata wazungu wanatushangaa kwa uchizi wetu.....maana tunajirudisha sisi wenyewe utumwani tena kwa gharama zetu wenyewe kiasi kwamba mpaka wanyama wa porini wanatushangaa kwa ujinga....ambacho waafrika hawajui ni kwamba mtu mweupe hajawahi kumpenda mtu mweusi hata siku moja na hata mpenda mpka mwisho wa dunia..isipokuwa kwa unafiki tu lakini mioyoni mwao wanachuki kali nasi zaidi ya tunavyofikiria..utakimbiaje nchi yako...?.nchi ya mababu zako ambao walipoteza uhai wao kwa ajili kuwatimua wazungu ili wabaki huru na wewe unakimbilia huko huko kwa maadui wa mababu zako..,,??...huu ni usaliti wa hali ya juu....tuzijenge nchi zetu...hao mafisadi na viongozi wabovu hata huko ulaya walikuwapo...lakini wenzetu waliwatimua na kujenga nchi zao ambazo leo tunaziona pepo ndogo hapa duniani....kwanini na sisi tusifanye hivyo hapa kwenye ardhi yetu...??...cha ajabu sasa wakati sisi tunaona fahari kukimbilia huko...wazungu kila siku wanazaliwa bongo na kumiliki maeneo makubwa na kuwapa watoto zao....WAKE UP AFRICANS...

Mbona hao wala nchi ndio wanakimbilia huko kutibiwa , kusomesha watoto wao, pesa wanazoiba wanenda kuziweka huko mkuu kuzikwa tu ndio wanazikwa bongo kama makaburini vile ? badala ya kuijenga nchi yetu na kuboresha maisha ya kila mtanzania?
 
watu mna mahesabu ha ha ha ila kama ni ya mzee wa wanyama dah namuonea huruma faraja

hahahaaaqa....
wabongo kila mtu spy..!!

faraja akubali maumivu tuuu!!

mradi anpata anachokipata baasss plus ma selfie ya kuturusha roho ig na shosti zake inatosha kuridhika na hali!!
 
no best ndo mida yake hii
tena sasa ndo naanza kuamini mimba ya mzee wa utalii maana ukipiga hesabu walivyoendaga marekani kutangaza tembo jibu linakuja kabisaa kabisa

na kingine ana tumbo kubwa sana
Hata mimi Ndo nimeamini mimba ni ya tembo, maana ukihesabu toka walivyokwenda USA Ndo miezi inaendana kabisa. Aisée pole kwa faraja
 
Mbona hao wala nchi ndio wanakimbilia huko kutibiwa , kusomesha watoto wao, pesa wanazoiba wanenda kuziweka huko mkuu kuzikwa tu ndio wanazikwa bongo kama makaburini vile ? badala ya kuijenga nchi yetu na kuboresha maisha ya kila mtanzania?

Niliposema waafrika nilikuwa namaanisha wote..
 
Back
Top Bottom