Dokta Jakaya Kikwete: ‘No way’

Dokta Jakaya Kikwete: ‘No way’

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,427
Reaction score
4,944
wakati Afisa Mhamasishaji wa Yanga Afrika akifungua halfa ya mchakato wa utiaji saini wa makubaliano ya mabadiliko ya mfumo kati ya Yanga, GSM na La Liga, amemtaja Rais Mstaafu Dokta Jakaya Mrisho Kikwete kama Rais kipenzi cha Watanzania.

Akiwa amekaa katika meza yake, huku kamera zikimmulika, Dokta Kikwete alionekana akijitikisha huku akishusha barakoa yake na kutamka ‘No way’.

Kwanini Dokta Jakaya Mrisho Kikwete anaukana ukweli? sisi wengine tunatamani hata agombee tena tumpe kura awe Rais wa nchi.
 
Mlimwita Chadema fisadi na dhaifu ama kweli Chadema unafiki umewajaa
To be honestly kwenye hili. Lazima ukweli usemwe.
Tujifunze kuweka hakiba ya maneno. Yes alisemwa kwa mengi.. leo wanamkumbuka.
 
Anajua Mungu anawapenda wasiojikweza, kujikweza au ujuaji ni dalili za mtu asiejiamini.
 
Back
Top Bottom