Dokta Kasema Mwili Una Damu Nyingi

Dokta Kasema Mwili Una Damu Nyingi

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Ni Baada Ya Vipimo Vyote Vya Damu
Dokta Kasema Tatizo Langu Linasabishwa Na Mwili Wangu Kuwa Na Damu Nyingi
HiVi Hili Suala Lipo Kweli Wakuu?
 
mkuu jikate kate damu zipungue
 
Mkuu kakwambia kiutuuzima uoe upate kugegeda.
 
Lipo, ugonjwa unaitwa polycythemia vera (pv)
Linatokea pale mwili unatengeneza red blood cells nyingi kuliko kawaida

Au tuseme mwili unakuwa na iron nyingi sana.

Donate blood mara kwa mara
 
Ni Baada Ya Vipimo Vyote Vya Damu
Dokta Kasema Tatizo Langu Linasabishwa Na Mwili Wangu Kuwa Na Damu Nyingi
HiVi Hili Suala Lipo Kweli Wakuu?

Mwezi Mmoja uliopita Nami niliambiwa na Daktari nina Damu nyingi, Daktari alinishauri nisitoe Damu maana itajiongeza zaidi, but aliniadvise after 90 days hizo cells zitaondoka zenyewe.
 
Hili tatizo lipo lakini kapime sehemu nyingine mbili ili uone majibu kama yanashabihiana na hayo uliyopewa. Kama yanashabihiana basi unaweza kwenda kutoa damu ili uwasaidie wale wanaohitaji.
 
...nipunguzie mkuu mimi nimebakiwa na kikombe kimoja tu...
sijui kama jioni itafika....
 
Lipo mkuu ,tena don't try to donate tatizo litaongezeka, kuna vidonge vinasaidia baada ya miezi mitatu hali inakuwa normal.
 
Back
Top Bottom