Dokta kikwete,dokta karume. what else?

Dokta kikwete,dokta karume. what else?

how about Dr. Komba and Prof. Rostam...
He deserves professorship! He has got loads of publications in the reputable peer reviewed journals such as International Journal of Corruption, Nature Fisadism, Proceedings of the National Academy of Fraud, and The Journal of Scientific Climinality.
 
Sasa bado makamba nae kupewa udokta naona.....

Huo ndio utamu wa uongoza

  • Digrii za honorarium
  • Mkwe wa zawadi
  • Bahasha za kaki hata kama haupo kwenye vika
  • Magari ya kupewa
  • Uchifu na utemi wa kupachikwa
  • Mitaa ya kupewa
  • Cheti cha makazi hata kama hujawahi hata kufika hapo
wa hilo hili la udokta poa tu we subiri mwakani watawapa hata uprofesa wa kupigania hakiza maskini na kupambana na ufisadi
 
watu wanakesha hawalali kupiga kitabu ili wawe wasomi wenye sifa ya kuwa daktari, wengine wanajipachika tu, mijitu mingine bwana, halafu eti anaipokea kwa heshima kabisa utadhani ameitolea jasho, hovyo kabisa...lol
 
imefikia wakati watanzania tusiwe tunakubali tu na kushabikia kwamba flani kapata hiyo degree, inabidi tuanze utaratibu wa kuuliza ameipata degree ya nini, wapi na aliisomea lini??? kama inastahili coz alisoma inabidi apewe heshima yake ila kama aliipata kwa njia ya kupewa kama zawadi hawa watu ni wa kuwadharau tu, hamna kitu...
 
mmemsahau na doctor mauwa daftari pia.

msipate tabu suala hili la udaktari wa heshima limepevuka mno kwa hiyo zamani ilikuwa adimu sana mtu kuitwa doctor lakini sasa very easy yaani mpaka nashangaa inatie uchungu fulani hivi kuwa watu wanasumbuka na kuutafuta udaktari hawalali kwa kuutafuta lakini wengine wanaupata kiulaini..... ahhh poa tu hata mie kuna siku nitapewa huo udaktari tena ninausubiri tu.

bye
 
Baba yake alifanya meeengi na hakuwahi kupewa. We can also question credibility of that university
 
Back
Top Bottom