Dokta Mwaka: Wanawake kufungua Miguu tu pekee haitoshi, jiulizeni na nyie mmewafanyia nini Wanaume? Acheni kutaka kufanyiwa kila Kitu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Na isitoshe pamoja na kufanyiwa kila Kitu na Wanaume ikiwemo hadi Kuridhishwa maradufu bado tena Wanaume hao hao Wanawajibika katika Kuwatunzeni lakini pamoja na yote haya utakuta Wanawake wao hawarudishi Uwajibikaji huo kwa Wanaume na wanadhani Kufungua Kwao Miguu kila Siku ndiyo Upendo wa mwisho kwa Wanaume na ndiyo wakitakacho Wanaume wakati wala si Kweli" amesema Dokta Mwaka katika Clip yake moja inayosambaa.

Tafadhali mwenye Namba ya Simu ya Dokta mwaka anipatie ili nimtumie Pesa kidogo ya Soda kwani Kamaliza yote.

Kudadadeki.
 
1719051425442.jpg
 
acha ujinga, tunza goma lako
unataka nani apendezeshe demu wako
 
Ogopa sana mwanaume anaedai 50/50 kati yake na mwanamke. Hii mambo ya kulalamika lalamika achieni mademu bana
 
Back
Top Bottom