Dokta na wagonjwa wa akili.

Dokta na wagonjwa wa akili.

Tanwise

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
466
Reaction score
1,033
Hii ilitokea hospitali ya vichaa.

Dokta alikuwa anawapima wagonjwa wa akili.
Dokta:Leo tunabadilika kuwa wanyama
Vichaa wakaanza wengine kutembea kama ng'ombe wengine wanalia kama mbuzi ,wengine wanalia kama mbwa..Ila mmoja akawa amekaa ametulia
Dokta:akafurahi na kumfuata yule aliyetulia kwa tabasamu. VP mbona umetulia hivyo akamjibu shiiii nataga.
 
Back
Top Bottom