Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Tatizo chips, kweli mwanaume unakula chips na vikuku vya elfu sita, alafu mnakuja kutuchafua na mapovu, kweli kabisa. dahWanawake wanakokwenda watalizishwa na donkey
ila tunawachora sana, Nikiona mwanaume banda la chips namwonea huruma, dah!"Mwanaume anatumia nguvu, anatoka jasho, na baada ya tendo analala usingizi mzitoo!!"
View attachment 1802609
Alisikika akisisitiza kwa hisia kali kama vile yupo uwanjani
break unakunywa chai ya tangawizi na korosho grade one, ujue kila goli la UEFA ni sawa na lita 5 za damu.Yes, break ni muhimu kabla ya second half
Sikuwahi kudhani kua ww ni mdada...nway pole sana kwa kuchafuliwa na mapovu...tujaribu vijana wa kanda ya ziwa utafurahi na roho yako.Tatizo chips, kweli mwanaume unakula chips na vikuku vya elfu sita, alafu mnakuja kutuchafua na mapovu, kweli kabisa. dah
Au banda la urojoila tunawachora sana, Nikiona mwanaume banda la chips namwonea huruma, dah!
Urojo, ndio umeua kabisa aisee, wanawake tutenge siku tuandamane haya mabanda yavunjwe, ndio chanzo cha kuvunjika kwa ndoa, .Au banda la urojo
wachache wapo fiti, kiujumla mnahema sana,Sikuwahi kudhani kua ww ni mdada...nway pole sana kwa kuchafuliwa na mapovu...tujaribu vijana wa kanda ya ziwa utafurahi na roho yako.
Sisi ujana wetu breakfast ni Uji na mihogo au viazi...mchana ugali mixture ya mtama na udaga na kisamvu....na usiku ugali wa dona na mchicha chukuchuku...kifupi tupo fiti
🤣😂Urojo, ndio umeua kabisa aisee, wanawake tutenge siku tuandamane haya mabanda yavunjwe, ndio chanzo cha kuvunjika kwa ndoa, .
Nitakuleteeni ninazompa mr ili achape vizuri.Dakitari angekuwa ametenda jambo jema zaidi iwapo angetaja vyakula ambavyo mwanaume anapaswa kula ili Mkuyenge ufanye kazi iliyotukuka!! [emoji16][emoji16]