kwa kila sampali ya hudumiahahahaha mbona umetokwa na povu... Nani alisema ana waigiza wahindi? kama humkubali na unamuona wa hovyo sisi wengine tunamkubali na tunamuona wa maana na wengine ndio sababu ya kusikila Sport HQ
dr panju ya panjuaaaaaniiiiiiiiiiiiiiii kwa hisani ya tigo hapana chacha...
Wewe ukisikiliza EFM nani ataisikiliza tbc yenu?hahahaha mbona umetokwa na povu... Nani alisema ana waigiza wahindi? kama humkubali na unamuona wa hovyo sisi wengine tunamkubali na tunamuona wa maana na wengine ndio sababu ya kusikila Sport HQ
dr panju ya panjuaaaaaniiiiiiiiiiiiiiii kwa hisani ya tigo hapana chacha...
mpaka kesho clouds wanamtaka huyo kaa chini utafakari ujinga wakoHakuna mtangazaji wa hovyo kama huyo jamaa kama umewahi kuwasikia wahindi nadhani hana anachofanania wahindi wanalafudhi yao sitakai lakini sio kwa makosa ya herufi anayoyafanya huyo bwana. Kifupi anaboa
Huenda ni marketing strategy kwenye social media! stuka mzee!Naona week hiii inafatiliwa sana hii radio na TV (EFM na TVE) , juu ya vipindi vyake na watangazaji wake hapa ndipo huwa naukubuka wimbo wa Bahati bukuku " unapoianza safari wanakupa moyo ,ukionyesha mafanikio wanaibuka na kukubeza "
Sizani km tunalazimishwa kuisikiliza km VIP acheni tu au mnatumika ili ipotee kwenye ramani
Maana unajua walipo na account zao kwenye mitandao ya kijamii zipo needeni mkawakosowe huko
Duuuh! Great Thinker!Mkuu kwani huwa anasema kuwa anawaigiza wahindi au mlichagua tu kuwa anachokifanya ni kumuigiza muhindi?
Broo hivi efm mwanza inapatikana nawamiss sana hawa jamaa kwa anaejua anijuze pls najua humu kila kitu kinawezekanaHuyu jamaa ni nani ambaye huwa anaongea kama Mhindi? Je ni Maulid Kitenge au Ibrahim Maestro?
91.3Broo hivi efm mwanza inapatikana nawamiss sana hawa jamaa kwa anaejua anijuze pls najua humu kila kitu kinawezekana
91.3Broo hivi efm mwanza inapatikana nawamiss sana hawa jamaa kwa anaejua anijuze pls najua humu kila kitu kinawezekana