Dokta Panju wa kipindi cha michezo EFM

Dokta Panju wa kipindi cha michezo EFM

hahahaha mbona umetokwa na povu... Nani alisema ana waigiza wahindi? kama humkubali na unamuona wa hovyo sisi wengine tunamkubali na tunamuona wa maana na wengine ndio sababu ya kusikila Sport HQ
dr panju ya panjuaaaaaniiiiiiiiiiiiiiii kwa hisani ya tigo hapana chacha...
kwa kila sampali ya hudumia
 
hahahaha mbona umetokwa na povu... Nani alisema ana waigiza wahindi? kama humkubali na unamuona wa hovyo sisi wengine tunamkubali na tunamuona wa maana na wengine ndio sababu ya kusikila Sport HQ
dr panju ya panjuaaaaaniiiiiiiiiiiiiiii kwa hisani ya tigo hapana chacha...
Wewe ukisikiliza EFM nani ataisikiliza tbc yenu?
 
panju ya panjuaniiiiiiiiiiiiiii katika ubora wake
 
Hakuna mtangazaji wa hovyo kama huyo jamaa kama umewahi kuwasikia wahindi nadhani hana anachofanania wahindi wanalafudhi yao sitakai lakini sio kwa makosa ya herufi anayoyafanya huyo bwana. Kifupi anaboa
mpaka kesho clouds wanamtaka huyo kaa chini utafakari ujinga wako
 
Naona week hiii inafatiliwa sana hii radio na TV (EFM na TVE) , juu ya vipindi vyake na watangazaji wake hapa ndipo huwa naukubuka wimbo wa Bahati bukuku " unapoianza safari wanakupa moyo ,ukionyesha mafanikio wanaibuka na kukubeza "
Sizani km tunalazimishwa kuisikiliza km VIP acheni tu au mnatumika ili ipotee kwenye ramani
Maana unajua walipo na account zao kwenye mitandao ya kijamii zipo needeni mkawakosowe huko
Huenda ni marketing strategy kwenye social media! stuka mzee!
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Huyu jamaa ni nani ambaye huwa anaongea kama Mhindi? Je ni Maulid Kitenge au Ibrahim Maestro?
Broo hivi efm mwanza inapatikana nawamiss sana hawa jamaa kwa anaejua anijuze pls najua humu kila kitu kinawezekana
 
Huyo jamaa pumba kabisa...anakera na kuboa sana, bora hiyo sehemu wangemwachia wakira....
 
Jamaa ana kipaji cha kuiga pia lafudhi nyingine kama Kisukuma,Kihaya,Kikurya n.k Wakati yupo Magic FM walikua wanamtumia kutengeneza jingle za radio
 
Back
Top Bottom