Elections 2010 Dokta slaa akihutubia mbinga, songea mjini, mkoani ruvuma

Elections 2010 Dokta slaa akihutubia mbinga, songea mjini, mkoani ruvuma

Watz haturudi nyuma, hakuna kuogopa vitisho vya Shimbo na JK, wanalinda maslahi yao kwa kila mbinu. Lakini wapi ndo kwanza mambo yako jikoni.
 
unasema kwamba tumpe kura jk asie na watu? kwani tayari chadema kura zishatosha?

Hivi Malaria Sugu mbona unauliza majibu badala ya maswali?
 
Mh. KAFIRIBANGI umenifurahisha kweli. Nimeipenda hiyo.
 
Ole wao walambao makalio ya mafisadi na ilaaniwe siku waliyozaliwa

Sijui hata nikupe zawadi gani.

Nashindwa kuelewa. Inakuwaje mtu anakuwa puppet wa mafisadi utadhani kapewa limbwata? Ila ipo siku watakosa pa kukimbilia.
 
Ole wao walambao makalio ya mafisadi na ilaaniwe siku waliyozaliwa

NEGOTIATOR hii mjomba nimeipenda sana. Ianzishie thred kabisa kama vipi ili wanaolamba na walamwaji waone kabisa jinsi tulivyochoka nao .ccm-- Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Ole wao walambao makalio ya mafisadi na ilaaniwe siku waliyozaliwa

NEGOTIATOR hii mjomba nimeipenda sana. Ianzishie thread kabisa kama vipi ili wanaolamba na walamwaji waone kabisa jinsi tulivyochoka nao .ccm-- Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
unasema kwamba tumpe kura jk asie na watu? kwani tayari chadema kura zishatosha?
Utumwa wa akili ni mbaya sana hujadili kilichoandikwa ila unaandika kilicho kichwani mwako ni kama roboti lililosetiwa ndiyo maana unaambiwa ukalambe makalio.
 
Nimewawekea link hapa chini. Huo umati haujahongwa wala kuzombwa na malori kuja hapo.
Nimependa alivyomchambua Mnadhimu wa jeshi bwana Shimbo

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom