Elections 2010 Dokta slaa aweka historia mwembetogwa

Elections 2010 Dokta slaa aweka historia mwembetogwa

Negotiator

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2010
Posts
303
Reaction score
44
Hapa ni Mwembetogwa Iringa ambapo wazee wa hapa kwa kumbukumbu zao toka kuanza kwa mageuzi haijawahi kukusanyika umati mkubwa namna hii kwenye kampeni.

Pamoja na CCM kuzomba watu kwa malori lakini hawajapata kufikia rekodi hii ya watanzania waliomiminika kusikiliza sauti ya ukombozi. Mkutano ulijawa na usikivu na hamasa kubwa ya mabadiliko.

Shuhudieni wenyewe hapa


http://www.youtube.com/watch?v=uD_0bR5SqIw
 
Last edited by a moderator:
Thank you for this clip, mbona hamtuambii habari ya Dr huko mbeya?
 
asante mkubwa, lakini clip ina sauti hafifu sana.
 
Back
Top Bottom