Dokta Sulle anaeneza uchochezi wa kidini kwanini hakamatwi ? kaweka video ya kuchochea vita ya kidini

Dokta Sulle anaeneza uchochezi wa kidini kwanini hakamatwi ? kaweka video ya kuchochea vita ya kidini

Huyu hastahili kupuuzwa, hiki anachofanya ni kueneza itikadi chafu zinazochochea chuki ya kidini.

Anaponyamaziwa kana kwamba hana madhara, anapata nafasi ya kujenga mtandao wa wafuasi, hasa vijana wasiokuwa na mwelekeo, ambao hushawishika kirahisi kuamini anachosema ni sahihi. Wanaanza kusambaza mawazo yake, kuanzisha vikundi na kuanza kuua watu. hivi ndivyo vikundi vya kigaidi huanza kuota mizizi.

View attachment 3474228
Sasa Kula tutazipataje, kama sifa zingine za kupatia Kula zimegoma, lakini tunazo sifa zingine ambazo zinatuwezesha kupata hizo kula
 
Sasa Kula tutazipataje, kama sifa zingine za kupatia Kula zimegoma, lakini tunazo sifa zingine ambazo zinatuwezesha kupata hizo kula
Pale muislam anapomtetea ndugu yake katika imaaan.
Anasahau kabisa kwamba huyo anayemtetea hana msaada kwa waislam zaidi ya kujilimbikizia Mali yeye na marafiki zake!
Inasikitisha sana!
 
Profesa Ibrahim Lipumba aliwahi kukiri CUF ilimuunga mkono Jakaya Kikwete sababu ni Muislamu mwenzao.

Waislamu wana udini sana hawa watu.
 
Huyu hastahili kupuuzwa, hiki anachofanya ni kueneza itikadi chafu zinazochochea chuki ya kidini.

Anaponyamaziwa kana kwamba hana madhara, anapata nafasi ya kujenga mtandao wa wafuasi, hasa vijana wasiokuwa na mwelekeo, ambao hushawishika kirahisi kuamini anachosema ni sahihi. Wanaanza kusambaza mawazo yake, kuanzisha vikundi na kuanza kuua watu. hivi ndivyo vikundi vya kigaidi huanza kuota mizizi.

View attachment 3474228
PhD in Radicalisation
 
***** wewe unaosha vizee vya kizungu huko uliko
Kama unaweza njoo huku na uingie rodini....

unaona?, tukiwa na Christian only country mambo na tabia za kishenzi kama uliyoonyesha kutakuwa hakuna, wote (washenzi na firauani) mtakuwa deported to the muslim side ...
 
Malalamiko ya watu ni juu ya serikali sasa waislam wamekuwa kinanani kuijibia serikali na hoja za serikali, malalamiko ya watu ni dhidi ya serikali na sio uislam ,sasa huyu sheikh anawashwa na nini au kwa vile Rais muislam basi wanaona na wao wamesha kuwa sehemu ya serikali, hawa wanajiona wanaiweza vita waulizenu wanavyo tandikwa kila siku wanataka kuonewa huruma
Asilimia kubwa ya wengi wanatetea maovu yanayofanywa na utawala wa Samia ni waislamu, na tena wanautetea kwa hoja za kipuuzi sana mpaka unashangaa...

Unakuta mtu unakemea matukio ya watu kutekwa, ghafla.. anatokea Abdallah au Halima anakwambia eti "mbona hata kipindi cha Magufuli watu walitekwa hamkupiga kelele hivi? Au kwa vile raisi muislamu".... yaan hapo anajiona amejenga hoja.

Mtu unajaribu kuongelea uonevu anaofanyiwa Lisu, halafu utashangaa mjinga mmoja wa kuitwa Mohamed, anakwambia eti "si afadhari hata Samia amemfunga mtu, magufuli alitaka kumuua kabisa, huyu Lisu hana shukrani, mama amemrudisha nchini halafu yeyw anaanza kumsumbua acha akae huko huko jela"...

Sasa kuna mwingine ndio alifunga kazi kabisa, kwa kusema eti "wakristo mnakipata tu mnachokitafuta endeleeni kumuandama Samia"

Ukisoma comments za waislamu basdhi yao kwenye mijadala mbali mbali hasa huko facebook na instagram unapigwa na butwaa, mpaka unajiuliza hivi hawa watu wanatumia ubongo kufikiri au wanatumia vijambio.

Halafu walivyokuwa wapuuzi wanajifanya kuplay victim kuwa eti wakristo wanaleta udini na wakati wao ndio kila wanachokifanya kwanzia kauli zao zinanuka udini mtupu.
 
Si ndio aina ya watu ambao hii serikali imewakumbatia, hili jambo angelisema ambaye ni mkosoaji wa hii serikali nadhani muda huu angekuwa kitanzini huko akisubiri kunyongwa.

Amani ya nchi haihusiani na dini ya mtu, amani ya nchi ni muhimu kuliko hizo dini zao za kuletewa, mtu anahukumiwa kwa kushindwa kuwajibika ipasavyo si kwa mujibu wa dini yake.

Hawa wanaochanganya chuki za kidini ktk siasa watakuja kuibomoa hii nchi na hivi kwa Sasa tulivyokosa uongozi thabiti basi tutaharibu kirahisi sana.
 
Hawezi fungiwa sababu ni chawa wao. Serikali itasema huu uzi ufutwe ila sio kumfungia huyo chawa.
 
Back
Top Bottom