Sasa Kula tutazipataje, kama sifa zingine za kupatia Kula zimegoma, lakini tunazo sifa zingine ambazo zinatuwezesha kupata hizo kulaHuyu hastahili kupuuzwa, hiki anachofanya ni kueneza itikadi chafu zinazochochea chuki ya kidini.
Anaponyamaziwa kana kwamba hana madhara, anapata nafasi ya kujenga mtandao wa wafuasi, hasa vijana wasiokuwa na mwelekeo, ambao hushawishika kirahisi kuamini anachosema ni sahihi. Wanaanza kusambaza mawazo yake, kuanzisha vikundi na kuanza kuua watu. hivi ndivyo vikundi vya kigaidi huanza kuota mizizi.
View attachment 3474228
Pale muislam anapomtetea ndugu yake katika imaaan.Sasa Kula tutazipataje, kama sifa zingine za kupatia Kula zimegoma, lakini tunazo sifa zingine ambazo zinatuwezesha kupata hizo kula
Naona umesoma kibao chake hapo. Hivi ni kipi hasa kinacho wafanya muwe na fikra finyu kiasi hicho?Kama vipi mstari uchorwe katikati watu wazichape
Hueleweki umeandika nini punguza uleviNaona umesoma kibao chake hapo. Hivi ni kipi hasa kinacho wafanya muwe na fikra finyu kiasi hicho?
PhD in RadicalisationHuyu hastahili kupuuzwa, hiki anachofanya ni kueneza itikadi chafu zinazochochea chuki ya kidini.
Anaponyamaziwa kana kwamba hana madhara, anapata nafasi ya kujenga mtandao wa wafuasi, hasa vijana wasiokuwa na mwelekeo, ambao hushawishika kirahisi kuamini anachosema ni sahihi. Wanaanza kusambaza mawazo yake, kuanzisha vikundi na kuanza kuua watu. hivi ndivyo vikundi vya kigaidi huanza kuota mizizi.
View attachment 3474228
***** wewe unaosha vizee vya kizungu huko uliko
Kama unaweza njoo huku na uingie rodini....
Asilimia kubwa ya wengi wanatetea maovu yanayofanywa na utawala wa Samia ni waislamu, na tena wanautetea kwa hoja za kipuuzi sana mpaka unashangaa...Malalamiko ya watu ni juu ya serikali sasa waislam wamekuwa kinanani kuijibia serikali na hoja za serikali, malalamiko ya watu ni dhidi ya serikali na sio uislam ,sasa huyu sheikh anawashwa na nini au kwa vile Rais muislam basi wanaona na wao wamesha kuwa sehemu ya serikali, hawa wanajiona wanaiweza vita waulizenu wanavyo tandikwa kila siku wanataka kuonewa huruma