Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran boss ntajaribu hiyoKawaida mkuu ila hakikisha usb sio ya kichina hata ukipata chaji yenye 1.8 kuendelea inaamka
Mkuu, Simu yangu haitumi message, nikiweka laini yangu ya voda ila napokea, pia laini nyngn ya voda inatuma kama kawaida na nikiweka laini yangu kwa simu nyingine inafanya kazi, nime restore but tatizo lipo... Msaada please.Nikiwa nimebobea kwenye masuala ya simu hususani software ,nakaribisha maswali kuhusu simu hasa za smartphone karibuni......
Picha zinarudi bila tabu ila kuna hatua za kufuata mkuu
Tatizo lipo kwenye line weka line ukimaliza nenda kwenye setting ya sms uangalie kama namba zimetimia itakuwa zipo pungufu...ikikataa fanya kudownload sms app ya ziada utumieMkuu, Simu yangu haitumi message, nikiweka laini yangu ya voda ila napokea, pia laini nyngn ya voda inatuma kama kawaida na nikiweka laini yangu kwa simu nyingine inafanya kazi, nime restore but tatizo lipo... Msaada please.
Fungua browser andika kingoroot itakuja app yake download halafu ifungue app itakuambia simu ipo root je unataka ku unroot click yes halafu itarudisha kwenye hali yake ...Nimeroot ipad huawei s8,kuna application za kibenk zinanisumbua hazitaki kuoperate kwenye rooted ipad.
Je nitumie njia gani ili irudi kwenye hali yake ya mwanzo ? Yaani how to unroot ?
Ndio,anataka ile ambayo akipiga sim kwake haiiti hata kidogo.hii uliyo sema mtu akikupigia kwake inaita kidogo anaambiwa namba bize kwa mwenye kujua anajua kabisa ume m block.nataka ambayo kwake haiiti hata kidogo.Zipo nyingi we unataka isiite kabisa?!
nimefanikiwa aisee, asanteUmefanikiwa mkuu