Dokta wa simu [maswali+ ushauri]

Mm nina simu yangu imekufa ghafla tu...nimeiweka kwny chaji usiku kuamka asbh display haifanyikazi na baadae ikazima kbs haijawaka tena
Haijafa hiyo ni nzima
 
Nikiwa nimebobea kwenye masuala ya simu hususani software ,nakaribisha maswali kuhusu simu hasa za smartphone karibuni......
Mkuu, Simu yangu haitumi message, nikiweka laini yangu ya voda ila napokea, pia laini nyngn ya voda inatuma kama kawaida na nikiweka laini yangu kwa simu nyingine inafanya kazi, nime restore but tatizo lipo... Msaada please.
 
Nimeroot ipad huawei s8,kuna application za kibenk zinanisumbua hazitaki kuoperate kwenye rooted ipad.
Je nitumie njia gani ili irudi kwenye hali yake ya mwanzo ? Yaani how to unroot ?
 
Tatizo lipo kwenye line weka line ukimaliza nenda kwenye setting ya sms uangalie kama namba zimetimia itakuwa zipo pungufu...ikikataa fanya kudownload sms app ya ziada utumie
 
Nimeroot ipad huawei s8,kuna application za kibenk zinanisumbua hazitaki kuoperate kwenye rooted ipad.
Je nitumie njia gani ili irudi kwenye hali yake ya mwanzo ? Yaani how to unroot ?
Fungua browser andika kingoroot itakuja app yake download halafu ifungue app itakuambia simu ipo root je unataka ku unroot click yes halafu itarudisha kwenye hali yake ...
 
Zipo nyingi we unataka isiite kabisa?!
Ndio,anataka ile ambayo akipiga sim kwake haiiti hata kidogo.hii uliyo sema mtu akikupigia kwake inaita kidogo anaambiwa namba bize kwa mwenye kujua anajua kabisa ume m block.nataka ambayo kwake haiiti hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…