Dola bilioni 400 ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Dola bilioni 400 ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania?
 
Wazee wa marketing network washakamata expert member
"Ukileta watu watatu nao wakileta watatu na nao pia wakifanya hivyo basi utaanza kuingiza dollar bilion mia nne kwa mwaka "

toplemon : damn! I'm a billionaire
 
Hahaha hamna kitu km hicho
 
Ebu 923.5/37=24 years
Kweli ni pesa ya mboga
Bajeti ya Tz ya miaka 24
 
hiyo pesa hata Elon Musk hana sijui wewe unaipataje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…