- Source #1
- View Source #1
- Source #2
- View Source #2
BREAKING NEWS: $5 Billion in cash and $700 Million in Gold found in Buhari's New York residence as FBI raids property; Trump orders clampdown on Nigerian politicians homes. Trump has ordered the money to be placed on hold as he doesn't trust the current president of Nigeria, who he said is worse than Buhari. 👑 Priincee Skaywer 👑 The Quantum Activater.
- Tunachokijua
- Muhammadu Buhari alikwa Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2023 baada ya Rais Bola Tinubu akiwa Rais wa 16. Kipindi cha utawala wa Buhari kumekuwa shutuma nyingi kuhusu rushwa mathalani tovuti ya Council on foreign relations (CFR) walieleza kuwa kwa mujibu wa Tume ya uhalifu wa kifedha na kiuchumi (EFCC) nchini nigeria walieleza kuwa imetangaza hukumu 603 za ufisadi.
Madai
Zimekuwapo taarifa zikidai kuwa,
''Dola bilioni 5 taslimu na dhahabu yenye thamani ya dola milioni 700 vyapatikana katika makazi ya Buhari mjini New York baada ya FBI kuvamia mali hiyo; Trump aagiza msako kwenye nyumba za wanasiasa wa Nigeria. Trump ameagiza pesa hizo zishikiliwe kwani hamuamini rais wa sasa wa Nigeria, akisema ni mbaya zaidi kuliko Buhari''. Tazama hapa na hapa
Uhalisia wa madai hayo
JamiiCheck imefuatilia madai hayo kwa njia ya mtandao ikiwemo kutumia utafutaji wa maneno muhimu na kubaini kuwa taarifa hiyo si ya kweli kwani haipo katika vyanzo vya taarifa vya kuaminika.
Aidha katika mitandao ya FBI (Federal Beural of investigation) hakuna taarifa inayomhusu Buhari na madai hayo ya kukaamatwa kwa mali hzio. Taarifa hizo zilisombaa pia zinakosa uwepo wa Taarifa muhimu mathalani ni lini tukio hilo lilitokea, ni lini Trump alizungumza kumuhusu Buhari.