Dola milioni 300, siku 90, sentano kipande haijalipwa! acacia inakula hasara, has no capacity to pay! Tumedanganywa?

Dola milioni 300, siku 90, sentano kipande haijalipwa! acacia inakula hasara, has no capacity to pay! Tumedanganywa?

Nakumbuka siku moja tukiwa ziarani na mkwere nchi fulani bwana mmoja aliuliza "hivi tukiamua kuachana na ununuzi wa madini ya Afrika mtayatumia kufanya nini?"

Swali hili linaungana na kauli yako kuhusu umuhimu wa elimu kwa watu wetu nchi hii inahitaji sana elimu.

Si madini tuuu tuna resources nyingi bado hazijatusaidia.

Pole zake bwana Ngosha anatakiwa apewe elimu shibishi ya the " corporate world"
Mkuu ni wazo zuri mno
Nadhani wahusika wamekusikua
 
Pascal Mayalla Jambo ambalo sijawahi kulielewa maisha yangu yote kuhusu jamii yetu ni hili, ni kwa nini huwa mnafurahia sisi kushindwa? I mean, ukiangalia jamii yetu ni kama watu wamekaa wanasubiri ushindwe wakucheke na kukukebehi, kwangu mimi sisi Watanzania ni watu childish sana, so immature, maisha hayako hivyo, watu wengi waliofanikiwa Duniani ni kwa kujaribu, kuchukuwa risks ndiyo unaweza kwenda mbele!

Bill Gates aliacha Chuo Harvard na kuanzisha Microsoft kama Wazungu wangekuwa childish na immature kama sisi kukaa kusubiri ushindwe ili wakucheke asingepata support, lkn wazazi wake na nchi nzima iko nyuma yake na kama microsoft ingeshindwa angerudi Chuoni na hakuna ambaye angemcheka au kumkebehi!

Sasa Raisi Magufuli amejaribu kama ameshindwa hatupaswi kumcheka wala kumkebehi bali tunapaswa kujipanga na kuanza upya, bila kubadilisha hii tabia hakuna tutakapoenda, kwa kifupi mnawarithisha hata Watoto wenu negativity na watashindwa pia maishani na ku-compete na Dunia kwani mnawajaza woga na misemo kama sijui tulikwambia acheni huo ujinga vinginevyo tutaendelea kubakia masikini maisha yote.
 
Tum
Rais hapaswi kulaumiwa kwenye hili na anahitaji kutiwa moyo na watanzania wote bila kuingiza itakadi za vyama. Kwa hakika amepambana lakini kuna sehemu tunakwama, hasa kwenye utaalamu wa mambo haya ya madini na mikataba mibovu ambayo inasimamiwa kimataifa na ilishaingiwa huko nyuma.

Naamini Kinu cha uchenjuaji makinikia kitakua suluhisho la huu wizi wa mchana, rais aendelee kubana hayo mkontena haiwekani muuza korosho ajiendeshe kwa kuuza maganda ya korosho badala ya korosho yenyewe. Tumeibiwa sana.
Vyema zaidi tuanzishe migodi yetu wenyewe, tupambane basi na hawa wawekezaji huko kwenye masoko.
 
Ok kijana unaonekana unajua kudadavua mambo ila unasumbuliwa na ukurupukaji ambao unatilia shaka elimu yako uliyokariri.

Serikali haijawahi kujadiliana wala kukubaliana kulipana na kampuni ya Acacia Bali ilijadiliana na kampuni ya Barrick kuhusu hayo. Unapotuletea financial report ya Acacia unatuchanganya na upupu wako. Na kama umefuatilia financial report ya Barrick wakakwambia subiri hadi Feb,14 kwa nn husisubiri ???

Kila mmoja wetu hapa anasubiria kwa hamu na ukisha ji commit kulipa hauna maana kuwa ni wakati huohuo on the spot. Njoo na taarifa ulizonazo za uhakika siyo kutuchosha na report za acaccia ambao tuliwakana kwa kutosajiliwa nchini. Next time usituletee threads za kukurupuka fanya kazi ununue Noah yako
 
Jambo ambalo sijawahi kulielewa maisha yangu yote yote kuhusu jamii yetu ni hili, ni kwa nini huwa mnafurahia sisi kushindwa? I mean, ukiangalia jamii yetu ni kama watu wamekaa wanasubiri ushindwe wakucheke na kukukebehi, kwangu mimi sisi Watanzania ni watu childish sana, so immature, maisha hayako hivyo, watu wengi waliofanikiwa Duniani ni kwa kujaribu, kuchukuwa risks ndiyo unaweza kwenda mbele!

Bill Gates aliacha Chuo Harvard na kuanzisha Microsoft kama Wazungu wangekuwa childish na immature kama sisi kukaa kusubiri ushindwe ili wakucheke asingepata support, lkn wazazi wake na nchi nzima iko nyuma yake na kama microsoft ingeshindwa angerudi Chuoni na hakuna ambaye angemcheka au kumkebehi!

Sasa Raisi Magufuli amejaribu kama ameshindwa hatupaswi kumcheka wala kumkebehi bali tunapaswa kujipanga na kuanza upya, bila kubadilisha hii tabia hakuna tutakapoenda, kwa kifupi mnawarithisha hata Watoto wenu negativity na watashindwa pia maishani na ku-compete na Dunia kwani mnawajaza woga, na tutaendelea kubakia masikini maisha yote na kuitwa ,,shithole" !
Aaaha blaza,
Jamaa hajaribu bhana, na yeye ni miongoni mwa hao wanaotudanganya. Hakuna chochote anachojaribu kukifanya.

Anatengeneza mizizi yake.
Kipindi cha Kikwete, Ridhiwani alikuwa untouchable.

Enzi hizi mzee wa chattle kina Bashite ndio untouchable.

Hakuna kitu unafanya zaidi ya misallocation of budget na cheap popularity anayoitaka
 
Rais hapaswi kulaumiwa kwenye hili na anahitaji kutiwa moyo na watanzania wote bila kuingiza itakadi za vyama. Kwa hakika amepambana lakini kuna sehemu tunakwama, hasa kwenye utaalamu wa mambo haya ya madini na mikataba mibovu ambayo inasimamiwa kimataifa na ilishaingiwa huko nyuma.

Naamini Kinu cha uchenjuaji makinikia kitakua suluhisho la huu wizi wa mchana, rais aendelee kubana hayo mkontena haiwekani muuza korosho ajiendeshe kwa kuuza maganda ya korosho badala ya korosho yenyewe. Tumeibiwa sana.
Mkuu unataka asaidiwe vipi? Kama kusaidiwa watu kama Zitto, Lissu na wengine walishakaribu kumsaidia na mwisho wakaitwa wasaliti wa nchi. Sasa hakuna msaada wowote kumpatia, yeye apambane kwa njia zake anazoona zinafaa na haki yetu ya kumlaumu hakikosea ipo palepale.
 
..Awamu hii imekuwa na showing off nyingi kuliko utendaji..Watendaji hasa wa juu wamegundua mzee anapenda kiki na wao wanamfuata unautangazia ulimwengu unalipwa mamilioni na wayahudi!!!Ushamba wa awamu hii utatuacha tumenasa katika sehemu moja mbaya sana.. sina takwimu!!!
 
Pascal Mayalla Siyo nia yangu kuiponda ACACIA au kuitetea Serikali lakini moja ya makampuni ya kitapeli Duniani ni pamoja na Barrick na hiyo kampuni tanzu yake ACACIA.

Tangu Barrick waanze kazi zao za uzalishaji Tanzania mwaka 2002 kwa madai yao hawajawahi kupata faida jambo ambalo si kweli. Katika andiko lako umesema wakia moja ya dhahabu inauzwa dola 779, hakuna kitu kama hicho Paskali na kwa hesabu za kimetalajia kama bei ya dhahabu inashuka chini ya dola 900 kwa wakia moja basi kampuni inaweza ama kusimamisha uzalishaji au kuangalia namna bora ya kuongeza kipato.

Kwa taarifa yako bei ya dhahabu kwa wakia moja muda huu ninavyoandika ni dola za kimarekani 1333 japo inaweza kubadilika badilika muda wowote lakini siyo variation kubwa kiasi hicho na si kweli kwamba kwa sasa dhahabu inauzwa dola 779 kwa wakia moja
 
Paskali umekuwa mchawi.
Wachawi ndio mabingwa wa kufukua makaburi.
Unatunukisha harufu bwana!Lione!
 
Aaaha blaza,
Jamaa hajaribu bhana, na yeye ni miongoni mwa hao wanaotudanganya. Hakuna chochote anachojaribu kukifanya.

Anatengeneza mizizi yake.
Kipindi cha Kikwete, Ridhiwani alikuwa untouchable.

Enzi hizi mzee wa chattle kina Bashite ndio untouchable.

Hakuna kitu unafanya zaidi ya misallocation of budget na cheap popularity anayoitaka

Na hilo ndiyo tatizo lenu lilipo, ni jambo gani ambalo angelifanya kwenu lisingekuwa hiyo unayoiita ,,cheap popularity"? Tumenunua ndege mmesema hivyo hivyo, tunajenga Reli mmesema hivyo hivyo, Ubungo flyover hivyo hivyo, hata sasa tunataka kujenga Bwawa la kuzalisha umeme 2000 MW stiegler pia mnasema ni cheap popularity, sasa ni kipi Raisi angefanya ambacho siyo cheap popularity?
 
Jambo ambalo sijawahi kulielewa maisha yangu yote kuhusu jamii yetu ni hili, ni kwa nini huwa mnafurahia sisi kushindwa? I mean, ukiangalia jamii yetu ni kama watu wamekaa wanasubiri ushindwe wakucheke na kukukebehi, kwangu mimi sisi Watanzania ni watu childish sana, so immature, maisha hayako hivyo, watu wengi waliofanikiwa Duniani ni kwa kujaribu, kuchukuwa risks ndiyo unaweza kwenda mbele!

Bill Gates aliacha Chuo Harvard na kuanzisha Microsoft kama Wazungu wangekuwa childish na immature kama sisi kukaa kusubiri ushindwe ili wakucheke asingepata support, lkn wazazi wake na nchi nzima iko nyuma yake na kama microsoft ingeshindwa angerudi Chuoni na hakuna ambaye angemcheka au kumkebehi!

Sasa Raisi Magufuli amejaribu kama ameshindwa hatupaswi kumcheka wala kumkebehi bali tunapaswa kujipanga na kuanza upya, bila kubadilisha hii tabia hakuna tutakapoenda, kwa kifupi mnawarithisha hata Watoto wenu negativity na watashindwa pia maishani na ku-compete na Dunia kwani mnawajaza woga na misemo ya ******* kama sijui tulikwambia acheni huo ujinga vinginevyo tutaendelea kubakia masikini maisha yote na kuitwa ,,shithole" !
Ishu ya madini na gesi teyari watu walishajadili sana jinsi yakuweza kufanikiwa kwenda sawa na hao wazungu. Lakini cha ajabu njia zote waliamua kwa makusudi kuzidharau na kwenda njia zao ambazo mwisho wake lazima wafeli, kwa kifupi wameshindwa makusudi. Sasa watu kama hao kwanini wasichekwe?? Kwan wazidhaulike??

Mimi naona hatuna kosa kucheka, wala hatuna kosa kutowatia moyo. Watu aina yake ambao wamechagua kufeli, njia wakuwalaumu ndiyo nzuri sana kuliko njia ya kuwachekea, njia hiyo ndiyo pekee ambayo itaweza kumkumbusha kabda ya kutenda siku za usoni huko.
 
Ni njia gani hizo ambazo tungepaswa kuchukuwa ambazo msingecheka na kukebehi kama zisingetoa matokeo positive? Nitajie moja tu ambayo ingefanikiwa na msingecheka!
 
Dada yenu Mange anasemaje?
Ina maana mlisahau au hamkuelewa kuhusu uwepo wa kikao cha bodi ya barrick kuhusu suala hili?

Unachomekea mambo ya Mange ili kubadili hoja ya msingi. Hilo jambo rais alilibeba na kuligeuza mtaji wa kisiasa ndio maana kuna mambo hayaeleweki. Shida ya hili jambo liko kwenye mikataba zaidi, lakini ikatumika approach ya kisiasa ndio maana unaona serekali iko kimya na hata hizo kanuni imebidi zisainiwe juzi tena baada ya rais kupiga mikwara.

Lissu alionya wizi wa hayo madini uko kwenye mikataba, na alipoona inatumika njia ya kick za kisiasa na yeye akakosoa kisiasa ili kuharibu kick ya rais. Matokeo yake akaitwa msaliti na nyie mashabiki maandazi. Ukitaka kuamini kwamba tatizo lilikuwa ni kwenye mikataba na sio hizo blabla za kutaka kuonyesha uzalendo, kuna watu walitajwa kwa majina kabisa kwenye hiyi mikataba mibovu, Chenge, Yona, Karamagi nk. Rais akatangaza wote waliotajwa wakamatwe na kuhojiwa mara moja. Hakuna aliyekamatwa mpaka leo na wanadunda tu.

Kama hiyo haitoshi wazungu wa Barrick wakaja, tukakaa nao miezi miwili kwa vikao virefu lakini hatukuweza kudhibitisha tunawadai nini. Zile ripoti zilionysha tunadai 450tr, lakini hakuna kitu. Wajumbe wetu walipoona mikataba tuliyoingia ndio shida ikabidi waombe kifuta aibu. Wazungu wakasema watatoa $300m tena mpaka wakajadili. Jingalao fahamu hakuna mzungu mjinga, shida ilikuwa kwenye mikataba kama alivyosema Lissu, ila siasa nyepesi ndio ziligubika suala hilo.
 
Back
Top Bottom