Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,700
- 9,570
Mkuu ni wazo zuri mnoNakumbuka siku moja tukiwa ziarani na mkwere nchi fulani bwana mmoja aliuliza "hivi tukiamua kuachana na ununuzi wa madini ya Afrika mtayatumia kufanya nini?"
Swali hili linaungana na kauli yako kuhusu umuhimu wa elimu kwa watu wetu nchi hii inahitaji sana elimu.
Si madini tuuu tuna resources nyingi bado hazijatusaidia.
Pole zake bwana Ngosha anatakiwa apewe elimu shibishi ya the " corporate world"
Vyema zaidi tuanzishe migodi yetu wenyewe, tupambane basi na hawa wawekezaji huko kwenye masoko.Rais hapaswi kulaumiwa kwenye hili na anahitaji kutiwa moyo na watanzania wote bila kuingiza itakadi za vyama. Kwa hakika amepambana lakini kuna sehemu tunakwama, hasa kwenye utaalamu wa mambo haya ya madini na mikataba mibovu ambayo inasimamiwa kimataifa na ilishaingiwa huko nyuma.
Naamini Kinu cha uchenjuaji makinikia kitakua suluhisho la huu wizi wa mchana, rais aendelee kubana hayo mkontena haiwekani muuza korosho ajiendeshe kwa kuuza maganda ya korosho badala ya korosho yenyewe. Tumeibiwa sana.
Aaaha blaza,Jambo ambalo sijawahi kulielewa maisha yangu yote yote kuhusu jamii yetu ni hili, ni kwa nini huwa mnafurahia sisi kushindwa? I mean, ukiangalia jamii yetu ni kama watu wamekaa wanasubiri ushindwe wakucheke na kukukebehi, kwangu mimi sisi Watanzania ni watu childish sana, so immature, maisha hayako hivyo, watu wengi waliofanikiwa Duniani ni kwa kujaribu, kuchukuwa risks ndiyo unaweza kwenda mbele!
Bill Gates aliacha Chuo Harvard na kuanzisha Microsoft kama Wazungu wangekuwa childish na immature kama sisi kukaa kusubiri ushindwe ili wakucheke asingepata support, lkn wazazi wake na nchi nzima iko nyuma yake na kama microsoft ingeshindwa angerudi Chuoni na hakuna ambaye angemcheka au kumkebehi!
Sasa Raisi Magufuli amejaribu kama ameshindwa hatupaswi kumcheka wala kumkebehi bali tunapaswa kujipanga na kuanza upya, bila kubadilisha hii tabia hakuna tutakapoenda, kwa kifupi mnawarithisha hata Watoto wenu negativity na watashindwa pia maishani na ku-compete na Dunia kwani mnawajaza woga, na tutaendelea kubakia masikini maisha yote na kuitwa ,,shithole" !
Mkuu unataka asaidiwe vipi? Kama kusaidiwa watu kama Zitto, Lissu na wengine walishakaribu kumsaidia na mwisho wakaitwa wasaliti wa nchi. Sasa hakuna msaada wowote kumpatia, yeye apambane kwa njia zake anazoona zinafaa na haki yetu ya kumlaumu hakikosea ipo palepale.Rais hapaswi kulaumiwa kwenye hili na anahitaji kutiwa moyo na watanzania wote bila kuingiza itakadi za vyama. Kwa hakika amepambana lakini kuna sehemu tunakwama, hasa kwenye utaalamu wa mambo haya ya madini na mikataba mibovu ambayo inasimamiwa kimataifa na ilishaingiwa huko nyuma.
Naamini Kinu cha uchenjuaji makinikia kitakua suluhisho la huu wizi wa mchana, rais aendelee kubana hayo mkontena haiwekani muuza korosho ajiendeshe kwa kuuza maganda ya korosho badala ya korosho yenyewe. Tumeibiwa sana.
Aaaha blaza,
Jamaa hajaribu bhana, na yeye ni miongoni mwa hao wanaotudanganya. Hakuna chochote anachojaribu kukifanya.
Anatengeneza mizizi yake.
Kipindi cha Kikwete, Ridhiwani alikuwa untouchable.
Enzi hizi mzee wa chattle kina Bashite ndio untouchable.
Hakuna kitu unafanya zaidi ya misallocation of budget na cheap popularity anayoitaka
Yale makontena bado tunayashikilia kwani?
Na wale watu wa Acacia kutoma Canada bado wanaendelea na mazungumzo au walisharudi kwao? Kimya kweli naona
Hahahaaaaa.yalishatolewa kwenda kutumika kama kifusi kujengea barabara
Ishu ya madini na gesi teyari watu walishajadili sana jinsi yakuweza kufanikiwa kwenda sawa na hao wazungu. Lakini cha ajabu njia zote waliamua kwa makusudi kuzidharau na kwenda njia zao ambazo mwisho wake lazima wafeli, kwa kifupi wameshindwa makusudi. Sasa watu kama hao kwanini wasichekwe?? Kwan wazidhaulike??Jambo ambalo sijawahi kulielewa maisha yangu yote kuhusu jamii yetu ni hili, ni kwa nini huwa mnafurahia sisi kushindwa? I mean, ukiangalia jamii yetu ni kama watu wamekaa wanasubiri ushindwe wakucheke na kukukebehi, kwangu mimi sisi Watanzania ni watu childish sana, so immature, maisha hayako hivyo, watu wengi waliofanikiwa Duniani ni kwa kujaribu, kuchukuwa risks ndiyo unaweza kwenda mbele!
Bill Gates aliacha Chuo Harvard na kuanzisha Microsoft kama Wazungu wangekuwa childish na immature kama sisi kukaa kusubiri ushindwe ili wakucheke asingepata support, lkn wazazi wake na nchi nzima iko nyuma yake na kama microsoft ingeshindwa angerudi Chuoni na hakuna ambaye angemcheka au kumkebehi!
Sasa Raisi Magufuli amejaribu kama ameshindwa hatupaswi kumcheka wala kumkebehi bali tunapaswa kujipanga na kuanza upya, bila kubadilisha hii tabia hakuna tutakapoenda, kwa kifupi mnawarithisha hata Watoto wenu negativity na watashindwa pia maishani na ku-compete na Dunia kwani mnawajaza woga na misemo ya ******* kama sijui tulikwambia acheni huo ujinga vinginevyo tutaendelea kubakia masikini maisha yote na kuitwa ,,shithole" !
Ishu ya madini na gesi teyari watu walishajadili sana jinsi yakuweza kufanikiwa kwenda sawa na hao wazungu. Lakini cha ajabu njia zote waliamua kwa makusudi kuzidharau na kwenda njia zao ambazo mwisho wake lazima wafeli, kwa kifupi wameshindwa makusudi. Sasa watu kama hao kwanini wasichekwe?? Kwan wazidhaulike??
Mimi naona hatuna kosa kucheka, wala hatuna kosa kutowatia moyo. Watu aina yake ambao wamechagua kufeli, njia wakuwalaumu ndiyo nzuri sana kuliko njia ya kuwachekea, njia hiyo ndiyo pekee ambayo itaweza kumkumbusha kabda ya kutenda siku za usoni huko.
Dada yenu Mange anasemaje?
Ina maana mlisahau au hamkuelewa kuhusu uwepo wa kikao cha bodi ya barrick kuhusu suala hili?