Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Wakati wa Mesopotamia at least twaweza Seema watu walikuwa bado wachache,lakini enzi za falme Kama Egypt tayari watu walikua wengi na Kuna Hadi mataifa ya eneo Hilo waliunda umoja wa mataifa hayo ambako malalamiko kadhaa ya migogoro ilipelekwa,Mkuu Elungata niliwahi soma pahala panasema wakati huo! watu walikuwa siyo wengi sana kama ilivo kuwa miaka ya baadaye kidogo! population kubwa ilikuwa Africa kaskazini, Middle East ya leo kwenda mpaka India,hapo ndo ilikuwa Dunia
Ulaya yote ilifunikwa na Barafu, Gracial age in Europe, iltokea polepole Neanderthal -wazungu wakahamia kule na kuzaliana
kwa sababu ya matumizi mabaya ya ardhi na kukata Miti hovyo kulipelekea kutokea jangwa la Sahara, which means hapo palikuwa ni pa kijani, huku kusini mwa Ikweta ilikuwa ni Wanyama wakali tu na watu wa kabila la Wabarbaig/ Khoisan.
kwa mfano leo Bara Antarctica hakuna watu, inawezekana miaka 200 ijayo watu wakaishi. hili unalisemeaje kimfano?
Hiyo Ni kwa mashariki ya Kati na North Africa,
Kwa ulaya inataka uanze na story za kina Viking uende unapiga rivasi utaipata picha,
Bara za America ya kusini ndo bado sijagusa history ila haiwezekani ile population mfano Brazil ikose kabida history,
Falme Kama Roman,Mongolia ,Macedonia etc zilitokea kipindi ambacho dunia imeshakuwa na population ya kutosha tu,
Mfano hata Rome ukiangalia ramani yake haikucover dunia yote achilia mbali Europe yote,kulikua na tawala Germany,France na kwingineko