Dola ya kale ya Kiislam (Mesopotamia) ilitawala Dunia Takribani miaka 500 na ilikuwa sana, ila ilikuwa na tatizo kubwa moja

Wakati wa Mesopotamia at least twaweza Seema watu walikuwa bado wachache,lakini enzi za falme Kama Egypt tayari watu walikua wengi na Kuna Hadi mataifa ya eneo Hilo waliunda umoja wa mataifa hayo ambako malalamiko kadhaa ya migogoro ilipelekwa,
Hiyo Ni kwa mashariki ya Kati na North Africa,
Kwa ulaya inataka uanze na story za kina Viking uende unapiga rivasi utaipata picha,
Bara za America ya kusini ndo bado sijagusa history ila haiwezekani ile population mfano Brazil ikose kabida history,
Falme Kama Roman,Mongolia ,Macedonia etc zilitokea kipindi ambacho dunia imeshakuwa na population ya kutosha tu,
Mfano hata Rome ukiangalia ramani yake haikucover dunia yote achilia mbali Europe yote,kulikua na tawala Germany,France na kwingineko
 
Alipofika Rome alikutana na upinzani gani ?
Majeshi ya Kiislamu yakiongozwa na Mohammad Abdul Abbas yalitokea Centumcellae kuelekea Rome, yalishindwa kusonga mbele kirahis ili kishambulia St's Peters Basillica ajili ya Aurelian Wall, hivyo wakawa target ya adui.

Bila ajizi jeshi la kutoka Spelleto likiongozwa na mwana mfalme Lombard Duke Guy aliwabananisha majeshi ya waislam kwenye ukuta, wakati Mashua zao zikipigwa na Dhoruba Baharini, mahiti zikatupwa baharini, kuelekea ufukweni

Baada ya hapa wakaelekea kusini Mjini Gaeta vita ikaanza upya! Waislamu walisha kufa moyo na Merikeb zao za akiba na chakula ziliharibiwa vibaya sana, wakawa hawana jinsi ila kusalim amri. Huu ukuta upo mpaka leo.
 
Sasa mwaka 1961 kuna Mswahili gani alikuwa na uzoefu wa kuendesha mashamba au miradi ya uzalishaji. Tulitafuta sifa badala ya maendeleo kitu ambacho kinatuumiza hadi leo. Sifa hazina faida yoyote, maendeleo hata kama sio yako lakini kuna namna yanakusaidia.

Ukikaa Masaki hata kama huna jumba la kifahari, utafanyia watu kazi kwa malipo ya maana, utapata ulinzi wa uhakika, barabara ni safi, ambulance ukiita inakuja muda huo, umeme ukikatika TANESCO wanakimbizana.
Hivyo vyote ni kwa ajili wa watu wa kipato cha juu na wageni wanaoishi uko lakini hata mtu duni ambaye hata wazungu hawajui kama yupo naye anafaidika.
 
Sawa kwa hiyo tuna hitaajiana
 
Bonge la fact

Zoë the bosslady in town
 
Hii unaongelea ottoman empire expansion into Europe au Ni Hawa walioongozwa na muawia?
 
Hapa kijana nahisi kama umebugiiiii kwenye historia. Kama haujabugi basi unakiri kuwa Uislam ulikuwepo miaka 7500 BC (kabla ya ujio wa Kristo), ndipo historia ya awali ya Mesopotamia ilipoandikwa.

Kama sivyo hebu tufahamishe mtawala wa hiyo "Dola ya aKiislam ya Mesopatamia" alikuwa nani?
 
Hii unaongelea ottoman empire expansion into Europe au Ni Hawa walioongozwa na muawia?
Yes ndiyo namjibu muuliza swali, of course Rome iko Europe, Greece pia. nchi yeyote iliyosalimu amri ilibadilishwa na kuwa ya kiislam kwa hiyo wat km hawa wazee wa dini walifuata kuhubiri uislam!

Mu'awiyah's alikuwa political relious wa kalifu, na Gavana wa jimbo fulani , if my Memories serve me well hakuwahi kuongoza Majeshi- Mercenaries, zaidi alipanda kwenye Millitary career na kuwa Kiongozi wa Ummah!
 
Kweli nakiri nimebugi sehemu hasa kutofautisha kati ya Mesopotamia na Ottoman Empire Naomba mniwie radhi lkn baadhi wamenielewa! mambo yamepandana!
 
Muawia bin Abu sufiyan alikuwa kiongozi wa umayyah empire,kabla alikuwa gavana Jimbo la syria
 
Uislam ulikuja baada ya Kristu. Ulianzishwa na waroma.

Hiyo ni fact

Zoë the bosslady in town
 
Una ushahidi zaidi au nje ya Quran yako kwamba uislamu ulikuwepo 7500BC?
Nafahamu huzikubali hadithi za mtume.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mesopotamia haijawahi kuwa dola ya kiislamu,Wala haikuwahi kutawala dunia,Mesopotamia Ni dola ilikuwepo kabla haijameguka kuwa Asyria na Babylon,kabla ya Hapo kulikuwa na Akkadian na Hurian
Mleta mada amepotea kwenye Mesopotamia. Anazungumzia uislam miaka 300 na ushehe baada ya Christy. Mesopotamia ilikuwepo kabla ya Yesu kutabiliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nafikili ile berlin conference ndo imetufikisha hapa tulipo. Lengo la kile kikao ilikua ni kumfanya mwafrika awe mtumwa wa milele .matatizo tunayopata waafrika yote ni matunda ya kile kikao.

Ni vizuri tukajiangalia wenyewe kwanza. Kitu cha kwanza kujiuliza, ni kwanini wao walikuwa wameshaendelea na kuwa organised mpaka kukaa kutujadili watugawaneje kwa maslahi yao wakati sisi hatujitambui. Je, kwanini sisi hatukufanya hivyo ili tukawatawale wao? Tatizo ni la kwetu
 
Una ushahidi zaidi au nje ya Quran yako kwamba uislamu ulikuwepo 7500BC?
Nafahamu huzikubali hadithi za mtume.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabla hujaenda huko jifundishe kuelewa unachokisoma. Anza kwa kusoma kichwa cha habari cha mleta halafu ujibu mswali niliyomuuliza.

Unaweza pia.kusaidia kujibu "Dola ya Mesopotamia ya Kiislam ilikuwepo lini na mtawala alikuwa nani".

Huelewi unachokisoma? Nimeuliza maswali halafu unataka niyajibu mimi badqla ya kumumshinikizq.mlwta mada atajibu au wewe umsaidie.


Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga au ujinga upo kwenye genes zako?
 
Mwislam hajawahi kuitawala dunia
Wala hakuna Muislam mwenye haja ya kuitawala dunia. Muislam gani anaetaka kutawala sehemu ambyo mungu wake ni shetani? Kwa mujibu wa biblia mungu wa dunia ni shetani!
 
Mesopotamia haijawahi kuwa dola ya kiislamu,Wala haikuwahi kutawala dunia,Mesopotamia Ni dola ilikuwepo kabla haijameguka kuwa Asyria na Babylon,kabla ya Hapo kulikuwa na Akkadian na Hurian
Ni wazi kuwa mleta mada haelewi anachokiandika.Yeye mradi kaokoteza kaandika na kaleta mada JF, hata haelewi anachokifanya. Halafu utakuta huyo ndiyo msomi wa chuo kikuu na yeye ni Mwalimu anafundisha tena kwa.mbwembwe kweli kweli.

Huku kama si kujaza watu ujinga ni nini jamani? Na wengi wanaojibu humu wanakubaliana nae tu, hata hawaelewi wanachokisoma. Majanga!

Elimu yetu ipo mashakani. Hili ni janga kwa taifa kuliko corona.

cc: smaki
 
View attachment 1423632Tena alikuwa mshindi kweli kweli vita, Pande za Ulaya ya Kusini, akazibidilsha nchi za ukanda huo kufuata imani za kiislam, akafanikiwa, ngoma ilikuwa nzito alipofika Rome! rejea During Islamic Golden age!
Post yako hii inahusiana nini na post yako mamba moja ma bichwa lako la habari?
 
Uislam ulikuja baada ya Kristu. Ulianzishwa na waroma.

Hiyo ni fact

Zoë the bosslady in town

Ingawa hata maana ya Uislam hauifahamu lakini nnakushauri
Msome vizuri mleta mada halafu shindana nae, sikuyaleta mimi hayo ya "Mesopotamia" kuwa "Dola ya Kiislam' nisome vizuri, nimeuliza maswali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…