Wale wezi kuna mdada pale box sana eti below dollar 50 anachange kwa 1800Jaman Leo nilikuwa na noti mbili za USD 10 , 10 yaani USD 20. Ajabu nimeenda kubadili Mbeya maeneo ya Mwanjelwa pale Century plaza nimeshangaa kukuta wananunua $ kwa Tsh 1500 na $ 10 wananunua 1800.
Nimeuza hivyo hivyo kishingo upande.