Dola ya Marekani imeshuka kiasi hiki?

Dola ya Marekani imeshuka kiasi hiki?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Jaman Leo nilikuwa na noti mbili za USD 10 , 10 yaani USD 20. Ajabu nimeenda kubadili Mbeya maeneo ya Mwanjelwa pale Century plaza nimeshangaa kukuta wananunua $ kwa Tsh 1500 na $ 10 wananunua 1800.
Nimeuza hivyo hivyo kishingo upande.
 
ni sawa kwa dollar chini ya 50$. angalia kwenye ubao wao utaona dollar 1, 5 na 10 zina bei ndogo kuliko 50 na 100. hakuna dollar kushuka kwa kiasi hicho. angalia vizuri mabango yao.
asante
 
Sintosahau 2012 niliponunua $300 kwa Tsh10000 (Elfu kumi) kutoka kwa kijana mpiga pasi wa nguo za mtumba pale 77 Dom.
 
Jaman Leo nilikuwa na noti mbili za USD 10 , 10 yaani USD 20. Ajabu nimeenda kubadili Mbeya maeneo ya Mwanjelwa pale Century plaza nimeshangaa kukuta wananunua $ kwa Tsh 1500 na $ 10 wananunua 1800.
Nimeuza hivyo hivyo kishingo upande.
Wale wezi kuna mdada pale box sana eti below dollar 50 anachange kwa 1800
 
Umepigwa mkuu, siku nyingine nenda benki km crdb, nbc, nmb au commercial bank yeyote ile huwa wanatoa huduma za kubadilisha fedha tena kwa kiwango kinachotambulika na BoT.
 
Sasa napata picha ya mbeya kukoje, yaani commercial banks zina rate nzuri kuliko bureau de change!
 
Sasa napata picha ya mbeya kukoje, yaani commercial banks zina rate nzuri kuliko bureau de change!
Najiuliza sijui kwa nini niliamua kukubali kuchange kwa 1800. Last year nilichange Arusha Nakummat pale kwa USD 1 = Tsh 2000
 
Back
Top Bottom