mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hapo hapo nikuulize mkuu.Mimi kunaswali mmoja nimekuwa nikijiuliza mara nyingi na mpaka leo sijapata majibu yake, ila naweza pata hapa leo majibu haya!
Hivi wanaojiita wachaga ni kabila moja! na kama ni kabila moja inakuwaje kwa mfano lugha ya mchaga wa machame hailewi mchaga wa Rombo!, kwa ufahamu wangu mimi, watu wa kabila moja lazima wasikilizane, sasa hawa wananichanganya kidogo, au yalikuwa makabila tofauti mtu mmoja au wachache wakafanya jitihada za kuwaunganisha hawa watu na kuwa kabila mmoja ili kutimiza adhma fulani?
Wanaojua jambo hili wanisaidie, niwaombe wachaga msiojua chochote kama mimi kuhusu hili subirini tujifunze wote kwa wachaga wenzenu wanaojua!
Asante.
Watusi na wahutu ni makabila mawili tofauti sio mkuu?
Iweje sasa hao wote wanatumia lugha moja lkn wanakuaje ni makabila mawili tofauti?