KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
-
- #21
Asante sana kwa ushauri mzuri sana ngoja niufanyie kaziKama una account bank yenye hiyo hela kwa Shilingi,
Waambie unaowalipa huko china wakupe account namba za benk zao (bank details)
Ukienda bank kwako hapa Bongo, waambe wakupe form ya Bank transfer , waambie unataka kulipa hela China. watakupa rate ambayo utajaza baada ya hapo Bank yako itabadilisha yenyewe kwa rate ya siku hiyo na kulipa Bank ya China
Pole sana kwa Changamoto....
Hahahaaahaaaa aisee pole Sana hakika wewe ni mshamba Sana na hujiekewi!! Ndio nyie mliamini Magufuli alikuwa Mungu!! Kwa taarifa Yako hili ni tatizo la Dunia nzima hata angekuwepo huyo Mungu wako lingetokea tuu!!?R.I.P Magufuli
Kwahiyo hizo nchi nyingine zenye upungufu wa dollar Waziri ni Mwigulu!?Tatizo nchi sasa iko mikononi mwa mafisadi papa, eti Mwigulu awe waziri wa fedha nchi ibaki salama? Samia anayajua hayo na ana sababu zake za kuyafumbia macho
Nchi hii tuna import matakataka mengi yasiyokua na tija. Mfano uingizaji wa pikipiki hizi substandard ni muda muafaka kuzuia. Lazima kukomesha uagizaji wa vitu vinavyopatikana nchini ili kuwa na balance of trade. Watu wanaingiza mpaka furnitures kutoka nje wakati tuna miti na mbao za kutosha na mafundi wazuri. Huu ujinga wanaulea serikali yenyewe. Ban imports za matakataka yasiyo na faida.Sio Kenya tuu Hadi Uturuki..
Ni hivi mfumuko wa bei ya vitu Duniani ulioanzia kwenye Uviko na Sasa vita za Ukraine umesababisha shida hiyo kwenye Nchi nyingi za Dunia.
Kuanzia Ghana Hadi Egypt huko wanaomba mikopo imf Ili kukojoa uchumi zao..
Tanzania tuna nafuu sana na kinachotuokoa ni kwamba vyakula vingi hatuagizi Nje,sie vitu vya viwandani ndio tunaagiza so Serikali inaweka kufanya rationing na maisha yakaenda vizuri.
Kula mtori nikulipie at least umetoa facts!! Kuna mwehu mmoja kamkumbuka jiweNchi hii tuna import matakataka mengi yasiyokua na tija. Mfano uingizaji wa pikipiki hizi substandard ni muda muafaka kuzuia. Lazima kukomesha uagizaji wa vitu vinavyopatikana nchini ili kuwa na balance of trade. Watu wanaingiza mpaka furnitures kutoka nje wakati tuna miti na mbao za kutosha na mafundi wazuri. Huu ujinga wanaulea serikali yenyewe. Ban imports za matakataka yasiyo na faida.
Next time tumia postal bank...wao wako chini kuliko bank zote...Me juzi nimebadilisha pale JNIA Terminal 2 CRDB
Ukweli ni upi mkuu? Kupinga bila kuweka huo ukweli haisaidii!Sio kweli.
Kwa zaidi ya siku 10 nimekuwa nikitafuta dola 12,000 kwa ajili ya kuweza kuagiza vitu fulani China.
Nimezunguka kwenye mabenki yote makubwa, jibu lao hatuna USD. Nimeenda bureau de change, nako nimezunguka sana.
Jana jioni nikafika kwenye duka moja la kubadilishia fedha, nilipoingia ndani wakaniambia hawana dola, nikatoka nje. Mlinzi akaniita, akasema dola ni Tzs 3,200/ nikasema that's too much, wakanishusha hadi 3,000/-
Mama yangu Samia Suluhu Hassan, hii hali ni mbaya, huko tunakoelekea nchi itaweza kuingia kwenye mfumuko mkubwa sana wa bei, hyper inflation, maana dola ni adimu, inapatikana kwa gharama kubwa. Hii itapelekea kupanda sana kwa bei ya bidhaa hasa ukizingatia zaidi ya 95% ya bidhaa tunazozitumia tunaagiza kutoka nje ambako tunanunua kwa pesa za kigeni
Tukizuia Vijana watafanya biashara gani?Nchi hii tuna import matakataka mengi yasiyokua na tija. Mfano uingizaji wa pikipiki hizi substandard ni muda muafaka kuzuia. Lazima kukomesha uagizaji wa vitu vinavyopatikana nchini ili kuwa na balance of trade. Watu wanaingiza mpaka furnitures kutoka nje wakati tuna miti na mbao za kutosha na mafundi wazuri. Huu ujinga wanaulea serikali yenyewe. Ban imports za matakataka yasiyo na faida.
Uchumi ukiimarika ni yeye, ukisinyaa sio yeyeHii sio ishu ya Samia ni dunia nzima dola imekua adimu, nenda hapo kenya hali ni mbaya zaidi
Sio bongo tu ni Dunia nzima, sahivi US kuprint karatas zake anaogopa nchi nyingi sahv zinapunguza dependency ya Dollar
Ndio kwani Kuna Kiongozi anafanya kazi Ili uchumi usinyae? Kuna external shocks ziko Nje ya uwezo wa Serikali, Serikali inachoweza kufanya ni kupunguza Makali tuu kama wanavyofanya Sasa rationingUchumi ukiimarika ni yeye, ukisinyaa sio yeye
Kama hauko kwenye soko la Mzunguko wa Hela wa Wafanya Biashara huwezi elewa alichokisema Mkuu hapo. Wewe umekomalia tu kupanic. Nshomile mutu Ya Bukoba kaa kidogo kweny Soko la Wafanya Biashara wanaoagiza mzigo China ndo uje kuandika upya.Ila jamaa wewe ni muongo, unachangamsha jukwaa siyo?
Wewe unataka kulipia kitu china, unasema dollar 12,000 halafu unazunguka mjini kutafuta kubadilisha nataka nkuulize hivi,
Hivi huko unakotaka kulipia Bidhaa china unataka kulipa cash huku ukiwa bongo ?
Hakuna namna ya mfumo wa malipo china kama si kwa E-Transfer(Bank,Paypal,Apple pay,etc na hapo Nimeweka ambazo hazifanyi kazi bongo ila hapo kenya zinakubali)
-Kama unalipa Agency iliyo China Unaweza ukalipa kwa shillings kwenye Actual/Virtual mastercard mtandaoni halafu wao wata-convert kwa ratio ya siku husika(Sheria za nchi zinawabana kufanya transcation in both currency)
-Kama ni Benki si ukachukue transfer form utume na benki husika ndo iwalipe huko china.
Unakuja kutudanganya hapa kuwa umezunguka sijui wapi sijui wapi eti dollar hamna na unataka kulipa kitu china.
HATA KAMA UNATAKA KULIPA SHIPPING AGENT KAMA KINA SILENT OCEAN NA KILIMANJARO UNAWEZA KUWALIPA KWA TSH NA WAO WAKAKUPA RATE YA CONVERSION YA SIKU HIYO UKALIPA UKASEPA
ACHA UONGOOOO,NA KOMA KUDANGANYA UMMA WA WATANZANIA
Global problemUkweli ni upi mkuu? Kupinga bila kuweka huo ukweli haisaidii!
Haya tuambie
Huna medulaNdio kwani Kuna Kiongozi anafanya kazi Ili uchumi usinyae? Kuna external shocks ziko Nje ya uwezo wa Serikali, Serikali inachoweza kufanya ni kupunguza Makali tuu kama wanavyofanya Sasa rationing
SBP-held forex reserves drop to $4.2bn
With the cash-strapped nation failing to secure external financing despite attempts to resume a stalled bailout programme, the State Bank of Pakistan-held foreign exchange reserves dropped to $4.2...www.thenews.com.pk
Anataka abadilishe apate dola aruke nazo kwenda China.Unataka cash?
Samahani mkuu, sijui mimi ndio sielewi, unataka kuagiza kitu China unataka cash na sio transaction ya kibenki?