Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,203
Ni kweli hilo nimeanza kuona hadi nikamuuliza mtu mbona kama gharama sahivi za maisha zimepanda sana yaani unashika laki siku moja haipo..I will be short
I work with dollars , Tanzania shillings Ina kuwa na high inflation . This means pesa yetu itakuwa worthless hii trend ikizidi .
Mama yake tunajua Uwezo wake .
Kama una lip wa kwa Tanzania shillings jipange sana . Unaweza usimudu your current life style .
Tafuta dollars utapoteaNi kweli hilo nimeanza kuona hadi nikamuuliza mtu mbona kama gharama sahivi za maisha zimepanda sana yaani unashika laki siku moja haipo..
Cut government spending and raise interest rates rate .Nini kifanyike?
No reforms no electionCut government spending and raise interest rates rate .
Ila hii bongo government spending is worst in the past 5 years
So ukitafuta dola inakuaje kma unaenda dukani kwa mangi Au sokoni?Tafuta dollars utapotea
Safi sana, (Tuombe usaidizi wa kiuchumi toka U. K) sio aibu, Hawa akina tutubu na mwigulu wamesha fail.Nini kifanyike?
USD Ina increase in purchasing power . Utaishi vizuri sana hata kwa dollar 500 per month . Inflation won’t affect youSo ukitafuta dola inakuaje kma unaenda dukani kwa mangi Au sokoni?
Baada ya muda Fulani inapanda Tena na unaiuza Kwa shilingi ili ujizolee hela nyingi na kuenda Kwa mangi ukiwa na faida ya kutoshaSo ukitafuta dola inakuaje kma unaenda dukani kwa mangi Au sokoni?
Vichwa mviringo😂Yale maembe utayasikia Mitano tena🤣🤣
Usd imeshuka against other currency Ila bongo Ina panda we are not doing well .Kwa kweli duniani kote maisha yamekuwa magumu sana.
Sio huko tu
uberigiji eh😂Sio tz hata uku uberigiji vitu ghali sana