Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Cheap and hopeless politics,I will be short
I work with dollars , Tanzania shillings Ina kuwa na high inflation . This means pesa yetu itakuwa worthless hii trend ikizidi .
Mama yetu tunajua Uwezo wake .
Serikali yetu tunaijua ilivyo sasa , worthless
Kama una lipwa kwa Tanzania shillings jipange sana . Unaweza usimudu your current life style .
Mwaka huu tafuta dollars tu . Utajuta ukichelewa
