Dollar inapanda kwa kesi 2705 /= . Inflation inapanda kwa kasi . In short tumeisha

Cheap and hopeless politics,
 
Kwa miezi kadhaa sasa US dollar imeshuka thamani kutokana na kauli za Donald Trump za tarifs na za kuiingilia benki kuu ya Marekani ishushe interest rates. US dollar haipandi thamani, inashuka.

Kwa hiyo, kama shilingi ya Tanzania inashuka thamani dhidi ya US dollar, maana yake ni kwamba rate ya kupungua thamani ya Tanzanian shilling ni kubwa kuliko rate ya kushuka thamani ya US dollar.

Dollar haipandi thamani, inashuka. Ila, Tanzanian shilling inashuka thamani kwa kasi kubwa zaidi ya kasi ya jushuka thamani ya US dollar.

Soma zaidi hapa.

 
Gentleman,
tunaelekea msimu wa mavuno na hakuna kitisho cha kiuchumi nchini, hivyo hakuna haja ya kujaribu kuzua taharuki wala hofu kwa jamii, wala kubababika na habari ya mfumuko wa bei Tanazania 🐒
We jamaa ni pimbi sana
 
Nyie nyumbu mtaokoteza kila upuuzi ila baada ya Oktoba mtapumzisha hivyo viungo vyenu
 
Inabidi nianze kuhifadhi vichench vyangu kwa njia ya crypo👹
 
Wale wenye vichwa vilivyojaa mbegu za tikiti, watakuja kudanganya watanzaniq kwamba nchi zote maisha magumu.
 
Kazi ya Mama ni nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…