Dollar yaanza kupanda kwa kasi kurudi ilikotoka

Dollar yaanza kupanda kwa kasi kurudi ilikotoka

Baada ya wiki 4 za kushuka kwa dollar kwa kasi ya ajabu ambapo dollar ilifika 2290 hatimaye leo dollar imefikia 2515 ikitarajiwa kupanda zaidi siku za usoni . Hii ina maana gani mdau? Kwa mtu aliyenunua dollar wiki iliyopita leo ana faida ya karibu 200 kwa kila dollar moja
Ipo 2550 street market

Ingia Google
 
Ni kama shilling ya Tz kidogo imeimarika dhidi ya foreign currencies,nimeona hata kwenye Dirlam dhidi ya Tsh imeshuka.
 
Kuna mataahira yalikuwa yanaropoka eti Samia na mazezeta wake ndio wamepandisha thamani tshs ,
Na bado federal reserve wanazidi pandisha riba tena , kufikia march chuma kitakuwa 3000 kama ilivyokuwa .
 
I predicted this shit, in 2Pacalypse - 2Pac
 
Kama vile hawapo, na hakuna hata anayeshadadia kusema kuwa Dollar imepanda 🤣 🤣

Kwa nchi kama Tanzania isiyouza inachozalisha,,,, halafu kuna bwege eti wanakwambia wameishusha Dollar..
 
Ngoja tuona unafiki wao.

Mafuta yalipopanda bei, tuliambiwa ni vita vya Urusi ila yalipoanza kushuka tu wimbo ukawa shilingi yetu imeimariki dhidi ya dola.

Yakipanda tena waseme tu mchawi ni shilingi yetu kuporomoka!
 
Dollar ikishuka sifa kwa Marekani na weinge. Ikipanda matusi kwa serikali ya TZ.
 
Back
Top Bottom