Dominic salamba: Elie mpanzu hawezi kuwapa Ubingwa Simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
[emoji457] ELIE MPANZU HAWEZI KUWAPA UBINGWA SIMBA SC!.

"Naona huko mitandaoni Mashabiki wa Simba wanaongea saana baada ya kumsajili 'Ellie Mpanzu', niwaambie tuu UKWELI huyo Mpanzu hajaja kumaliza ukame wao wa MATAJI na pia kwanza hawezi ata kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga SC useme labda umtoe Pacome au Max aingie yeye"

[emoji2788] Dominic Salamba (Mchambuzi wa maswala ya Soka nchini Tanzania)

[emoji3482] Eeeh mbona sasa kama imeshakua ni vita Binafsi tena?, ngoja tusubirie hio tarehe nane sasa[emoji23][emoji119]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mpanzu peke yake hawez yes, but mpira ni team work
 
Huyo salamba hajawahi kujua mpira, aliyesema kombe linaletwa na mtu mmoja nani, kila mchezaji ana mchango wake kwenye timu, mara nyingi kuna nyota anaibuka anakamata macho ya watu, lakini mchango ni wa kila mchezaji.

Mpanzu kaonesha ni mchezaji mzuri, anacheza simba ambayo haijatulia, simba ambayo haina PLAYMAKER wa maana(yule AHOUA msiniambie ana hadhi ya kucheza simba) lakini mpanzu kajipambanua ni mchezaji mzuri sana, ana skills, ana jicho la pasi, anatumia miguu yote effectively, anasaidia timu ikiwa haina mpira
 
Utoto unakusumbua sana na wewe ni mmoja ya watu wanaosababisha wana Yanga wadharauliwe kwa mada zako zilizojaa utoto.
 
Yupo sahihi Mpanzu hawezipata namba Yanga na siyo yeye tu kikosi chote cha Simba hakuna wa kupata namba Yanga, mfano mdogo Chama simba alikuwa dhahabu Yanga ananzia benchi
 
Umechambua vizr mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Yupo sahihi Mpanzu hawezipata namba Yanga na siyo yeye tu kikosi chote cha Simba hakuna wa kupata namba Yanga, mfano mdogo Chama simba alikuwa dhahabu Yanga ananzia benchi
Ila mwenda ambaye halikuwa hapati namba simba huko Yanga ndiye nyota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…