Dominic salamba: Elie mpanzu hawezi kuwapa Ubingwa Simba

Dominic salamba: Elie mpanzu hawezi kuwapa Ubingwa Simba

Huyo salamba hajawahi kujua mpira, aliyesema kombe linaletwa na mtu mmoja nani, kila mchezaji ana mchango wake kwenye timu, mara nyingi kuna nyota anaibuka anakamata macho ya watu, lakini mchango ni wa kila mchezaji.

Mpanzu kaonesha ni mchezaji mzuri, anacheza simba ambayo haijatulia, simba ambayo haina PLAYMAKER wa maana(yule AHOUA msiniambie ana hadhi ya kucheza simba) lakini ahoua kajipambanua ni mchezaji mzuri sana, ana skills, ana jicho la pasi, anatumia miguu yote effectively, anasaidia timu ikiwa haina mpira
🤝🙌
 
[emoji457] ELIE MPANZU HAWEZI KUWAPA UBINGWA SIMBA SC!.

"Naona huko mitandaoni Mashabiki wa Simba wanaongea saana baada ya kumsajili 'Ellie Mpanzu', niwaambie tuu UKWELI huyo Mpanzu hajaja kumaliza ukame wao wa MATAJI na pia kwanza hawezi ata kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga SC useme labda umtoe Pacome au Max aingie yeye"

[emoji2788] Dominic Salamba (Mchambuzi wa maswala ya Soka nchini Tanzania)

[emoji3482] Eeeh mbona sasa kama imeshakua ni vita Binafsi tena?, ngoja tusubirie hio tarehe nane sasa[emoji23][emoji119]View attachment 3258439

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Naona Semaji la CUF limeangushwa chini ndani ya sekunde moja tu ya mchezo!
 
Back
Top Bottom