upupu255 Senior Member Joined Sep 4, 2024 Posts 119 Reaction score 144 Mar 6, 2025 #1 wakuu Kama kweli Ali Kamwe atakuwa amepigwa rungu na TFF basi huu ni wakati wa mchambuzi na shabiki wa Yanga, Dominick Salamba kuwasemea Wananchi. Apewe kitengo kwani amekuwa akiwasemea vizuri klabu yake pendwa. Soma: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF
wakuu Kama kweli Ali Kamwe atakuwa amepigwa rungu na TFF basi huu ni wakati wa mchambuzi na shabiki wa Yanga, Dominick Salamba kuwasemea Wananchi. Apewe kitengo kwani amekuwa akiwasemea vizuri klabu yake pendwa. Soma: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Mar 6, 2025 #2 upupu255 said: wakuu Kama kweli Ali Kamwe atakuwa amepigwa rungu na TFF basi huu ni wakati wa mchambuzi na shabiki wa Yanga, Dominick Salamba kuwasemea Wananchi. View attachment 3260844 Click to expand... Mmmmmm kosa ganiiii
upupu255 said: wakuu Kama kweli Ali Kamwe atakuwa amepigwa rungu na TFF basi huu ni wakati wa mchambuzi na shabiki wa Yanga, Dominick Salamba kuwasemea Wananchi. View attachment 3260844 Click to expand... Mmmmmm kosa ganiiii