HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Ni wajibu wa Waafrika wote wasomi na wasiokuwa wasomi kukaa chini na kutafakari juu ya domokrasia,ukristo na uislam kwa maendeleo ya Afrika.
Ni wazi vyote hivi vimeingizwa Afrika ili kuwapumbaza Waafrika wasiweze kuamsha akili zao na kuzitumia ipasavyo kuwaletea maendeleo yao wenyewe pasipo kutegemea wazungu na warabu ambao kwa asili ni wanyonyaji na wezi wa mali za Afrika
Kama kweli vitu hivi vinafaida kwa Waafrika kwanini hadi leo Waafrika wameendelea kuwa nyuma na kushuhudia majanga makubwa kama umaskini,magonjwa,vita,rushwa,ufisadi,nk wakati uislam/muhamadi na ukristo/yesu na demokrasia vipo na vinahubiliwa kila leo lakini havina msaada?
Kabla ya ujio wa hivi vyote Waafrika walijitawala na kufanya mambo yao kwa uhuru na umoja chini ya VIINGOZI WAO WA ASILI na kufanikiwa sana,sana lakini kwa sasa hamna UMOJA bali chuki za wao kwa wao anbazo zimepandikizwa na DOMOKRASIA,UISLAM na UKRISTO .
Waafrika watajikomboa wao wenyewe kutoka kwenye utumwa wa KIFIKIRA na AKILI kwa na siyo kwa kutegemea DOMOKRASIA, UISLAM na UISLAM kwani hizi ni propaganda za kuwapotosha na kuwadidimiza kwa malengo ya kuwataka waendelee kuwa tegemezi maisha yao yote!!