Don Bosco Dodoma na Abc College Arusha vs VETA, which is the best to study?

Don Bosco Dodoma na Abc College Arusha vs VETA, which is the best to study?

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Wadau,, nimeambia kunavyo vya ufundi Donbosco Dodoma na chuo cha Abc Arusha.Nwuliza je kunawatu wamesoma hivi vyuo? Na je elimu yao ikoje ukilinganisha na kusoma VETA.
Asante
 
Wadau,, nimeambia kunavyo vya ufundi Donbosco Dodoma na chuo cha Abc Arusha.Nwuliza je kunawatu wamesoma hivi vyuo? Na je elimu yao ikoje ukilinganisha na kusoma VETA.
Asante
Tanzania hakuna chuo cha maana we nenda kasome popte kati ya hivyo, vyote ni upuuzi tu
 
Tanzania hakuna chuo cha maana we nenda kasome popte kati ya hivyo, vyote ni upuuzi tu
Duu, je ni vyio Gani Bora vya private vua ufundibngazi ya VETA hapa Tanzania mtu aliyaliza form four anaweza kusoma.Ninapenda veta lakini ni ngumu sana kupata mafasi
 
VETA unapata nafasi vizuri tu kama ulifanya mtihani alafu hukuchaguliwa unaenda veta ambayo unapenda kusoma unawambia utakuwa unasoma awamu ya pili kwanzia saa 8 mchana mpaka saa12 jioni nenda veta watakupa maelekezo,
 
Back
Top Bottom