Don Nalimison asimamishiwa Mishahara na Serikali Halmashauri ya Jiji la Mwanza

Don Nalimison asimamishiwa Mishahara na Serikali Halmashauri ya Jiji la Mwanza

Ulipokuwa gerezani je mshahara wako uliendelea kuingia?
 
Hauko serious ww, Kila kitu unakihusisha na siasa tu! Mimi ni ccm damu damu lakini sikupata pia mshahara, na hivyo kwa masikitiko makubwa sana serikali yangu na nchi yangu imekosa P.AY.E, Kodi nayokatwa kuchangia taifa langu Kila napolipwa mshahara!
Hivyo mleta maada acha kubwabwacha, wengine tuna hasira kwa kushindwa kulipa Kodi (PAYE) kwa akili ya kuipaisha nchi yetu kwenye uchumi wa juu kabisa ebo😡😡😡😡!

Aliyekutuma ni bwege.
 
Na madeni uliyokopa kwa dhamana ya kuwa mtumishi (salary) uyarejeshe kesho hiyo hiyo maana watakufunga

Mungu Ibariki Tz - MITz
 
Siku nyingine ukipiga picha ya kuweka public ondoa toothpick maana inaonekana ni uchafu.
Au mtemi somo la hygiene limekupita kando kama mshahara wa July?
 
Back
Top Bottom