Don Nalimison Muziki wangu Sitaimba kwa lugha ya Kiswahili ng'o!

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
KWANINI SITAIMBA MUZIKI WANGU KWA LUGHA YA KISWAHILI? #DON NALIMISON

Mungu HAKITAKI KISWAHILI katika maisha yangu maana ni lugha ya Wachawi wa Kiarabu. Nikiwa Darasa la Tano mwaka 1994 mtihani wa Mhula wa kwanza Mtihani wa Somo la KISWAHILI nilipata SIFURI(ZERO).

Lakini somo la Kiingereza nilifauli vizuri Sana. Hivyo, nikiimba Muziki kwa Kiswahili au kucheza filamu kwa Kiswahili au kuandika Vitabu kwa Kiswahili mipango yangu yote inaharibika na kukwama Kama iliyokuwa hapo zamani nilipojaribu kuomba kwa Kiswahili na nikaanguka.

Hivyo Sasa, chochote nachokifanya kwasasa kitakuwa kwa lugha ya Kiingereza tu. Huu ndio mpango wa Mungu na Malaika wake wote na sitapokea ushauri wa kubadili mpango wa Mungu. Stay tuned

#DON NALIMISON

 
Mtumwa wa kifikra ww mwenye minyororo kichwani....badilisha na rangi basi maana una rangi ya kichawi pia
 
Tuko pamoja don mashabiki wako tunasubiria kwa hamuo ujio wa albamu najua ni straight billboards mangoma ya albamu nzima
 
DON is back!!! aka Masqo!! It is πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…