Don Nalimison Muziki wangu Sitaimba kwa lugha ya Kiswahili ng'o!

KWANINI SITAIMBA MUZIKI WANGU KWA LUGHA YA KISWAHILI? #DON NALIMISON

Mungu HAKITAKI KISWAHILI katika maisha yangu maana ni lugha ya Wachawi wa Kiarabu. Nikiwa Darasa la Tano mwaka 1994 mtihani wa Mhula wa kwanza Mtihani wa Somo la KISWAHILI nilipata SIFURI(ZERO).

Lakini somo la Kiingereza nilifauli vizuri Sana. Hivyo, nikiimba Muziki kwa Kiswahili au kucheza filamu kwa Kiswahili au kuandika Vitabu kwa Kiswahili mipango yangu yote inaharibika na kukwama Kama iliyokuwa hapo zamani nilipojaribu kuomba kwa Kiswahili na nikaanguka.

Hivyo Sasa, chochote nachokifanya kwasasa kitakuwa kwa lugha ya Kiingereza tu. Huu ndio mpango wa Mungu na Malaika wake wote na sitapokea ushauri wa kubadili mpango wa Mungu. Stay tuned

#DON NALIMISON

View attachment 1715743
Lakini huu Uzi umeandika kwa kiswahili lugha ya kichawi .

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Naona uzi wako umefaulu japo umeuandika kwa lugha ya kiswahili, cjui maisha yako nje ya jf yapo vp ikiwa unatumia lugha ya kiswahili kama lugha ya mawasiliano.
 
Don em nipigie lile dude lako la shake down shake down

Noma sana wewe ndo international icon wengine feki
 
KWANINI SITAIMBA MUZIKI WANGU KWA LUGHA YA KISWAHILI? #DON NALIMISON

Mungu HAKITAKI KISWAHILI katika maisha yangu maana ni lugha ya Wachawi wa Kiarabu. Nikiwa Darasa la Tano mwaka 1994 mtihani wa Mhula wa kwanza Mtihani wa Somo la KISWAHILI nilipata SIFURI(ZERO).

Lakini somo la Kiingereza nilifauli vizuri Sana. Hivyo, nikiimba Muziki kwa Kiswahili au kucheza filamu kwa Kiswahili au kuandika Vitabu kwa Kiswahili mipango yangu yote inaharibika na kukwama Kama iliyokuwa hapo zamani nilipojaribu kuomba kwa Kiswahili na nikaanguka.

Hivyo Sasa, chochote nachokifanya kwasasa kitakuwa kwa lugha ya Kiingereza tu. Huu ndio mpango wa Mungu na Malaika wake wote na sitapokea ushauri wa kubadili mpango wa Mungu. Stay tuned

#DON NALIMISON

View attachment 1715743
Weeee...... Wale watoto ulikuwa unagombea na mama zao wako wapi? Wamekufa wote?
Ukiwa unaenda huko unako vutia bangi zako, unipitie aiseee
I haven't stimu
 
Don em nipigie lile dude lako la shake down shake down

Noma sana wewe ndo international icon wengine feki

Mwenyewe anakuambia " hagi sholda hagi sholda, klapu hendi klapu hendi, sheki apu sheki apu sheki apu" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom