bro kulingana na alivoandika yeye ndio maana nikawa na wazo la kufanya hivyo na nilifanya ili hata kama tukienda mahakamani niwageuzie kibao kuwa walinikamata after kukataa kuwapa hongo ndio wakanitoa chezea mjela jela wewe na hiyo inshu ni mmoja wa mahabusu alinisaidia ikatick baadae nikamfanyia mchakato kwa kumlipia bail ya 6k ya kenya akatoka after kwa amepgwa fine na matrafic policeMkuu unaelewa maana ya kuweka ,(mkato) wakati wa kuandika tarakimu?
Kama aliandika kwa kutenganisha hivyo siyo rahisi uongezee sifuri ashindwe kung'amua.
huu mkasa wengi hawaamini kama wewe. Ila ni ukweli and by that time i was a rastaman nikaigiza upole wa kiras had raha. Amini usiamini ndio hivyo mkuu.Simulizi za vijiweni hizi, don't try this at......
kama una andazi kunywa tu usijaliChai
yap na ndio maana hata mimi nilianza na usijaribu bongo hii coz wana mfumo tofauti na hukoUsijaribu bongo hii, bongo wanaweka carbon paper chin halafu kopi yake ndo wanaibana na hela zako.
hivi wewe unawajua maafande wa kenya wakijua kuna ulaji na afu rudia kusoma kiongozi it was 2020. Na hata sasa usije kujiroga ukaenda huko bila utambulisho wowote my friend nakuomba ucjiaminiMkuu,lini Kenya wameanza kukamata watanzania kisa hawana passport? Mbona hiyo ni mpya kwangu.
Nimeenda Kenya mara nyingi mkuu na sina hata pasipoti ndo maana nashangaa unavyosema wewe ulikamatwa kisa huna pasipoti.hivi wewe unawajua maafande wa kenya wakijua kuna ulaji na afu rudia kusoma kiongozi it was 2020. Na hata sasa usije kujiroga ukaenda huko bila utambulisho wowote my friend nakuomba ucjiamini
ni bahati yako mkuu kuna boda zina ungese kweli kweli ila nakuomba usijisahau ndugu nenda kama una rafiki akusaidie ushke kitambulisho cha huko hawana nongw kama bongo and u will thank me laterNimeenda Kenya mara nyingi mkuu na sina hata pasipoti ndo maana nashangaa unavyosema wewe ulikamatwa kisa huna pasipoti.
Mmmh sijawahi kusikia hii, labda boda uliyotumia. Mi natumia Sirari,navuka zangu kwa miguu,nikifika Isibania nazurura narudi au kama nahitaji kwenda mbali zaidi nachukua usafiri hapo hapo Isibania unanipeleka napotaka .Sijawahi kusimamishwa na askari huko Kenya au kuulizwa swali lolote. Full uhuru.ni bahati yako mkuu kuna boda zina ungese kweli kweli ila nakuomba usijisahau ndugu nenda kama una rafiki akusaidie ushke kitambulisho cha huko hawana nongw kama bongo and u will thank me later