mwandiko unatofautiana mfano kuna tofauti gani kati ya 2 000 000/=Aliewekaga hii alama /= HAKUWAGA LIJINGA!.
siku litakukuta ndio utajua mkenya tena mda huo anakwambia mimi apana taka kiswahili miingi ya watanzo.Mmmh sijawahi kusikia hii, labda boda uliyotumia. Mi natumia Sirari,navuka zangu kwa miguu,nikifika Isibania nazurura narudi au kama nahitaji kwenda mbali zaidi nachukua usafiri hapo hapo Isibania unanipeleka napotaka .Sijawahi kusimamishwa na askari huko Kenya au kuulizwa swali lolote. Full uhuru.
yap na kilichonipa points ni yule afande kurudi amelewa wakajua kalewa na pesa zangu. Coz sio kwa asubuhi ile.Wenyewe wanakwambia ukitaka kuvunja sheria vunja ki sheria.. so wewe ulivunja sheria kisheria na sheria ikakulinda
Nasubiri linikute au limkute mtu ninayemfahamu maana hakuna mtu ninayemfahamu anayekwenda Kenya mara kwa mara ambaye ashakutwa na hili. Yaani kwa mfano mtu ameenda Kenya kwenye msiba au harusi halafu Polisi waende pale kumuuliza pasipoti ? Dah maajabu.siku litakukuta ndio utajua mkenya tena mda huo anakwambia mimi apana taka kiswahili miingi ya watanzo.
sawa its ok lets wait.Nasubiri linikute au limkute mtu ninayemfahamu maana hakuna mtu ninayemfahamu anayekwenda Kenya mara kwa mara ambaye ashakutwa na hili. Yaani kwa mfano mtu ameenda Kenya kwenye msiba au harusi halafu Polisi waende pale kumuuliza pasipoti ? Dah maajabu.