Don Williams enzi za uhai wake alikuwa Na Swaga

Don Williams enzi za uhai wake alikuwa Na Swaga

Ila Uzi wa mondi bila kumtaja kiba sio poa, hata Kenny nae nikisikia around the bay of Jamaica yaani hadi nywele zinasimama naweza sema don na ken level moja bhana
Na Queen wao Dolly, coat of many colours
 
Keny Rodgers na Dolly Parton watakuwa wapweke sana kuondokewa na patner wao kwenye country Music.
coward of the country" ndo faourite song ya Kenny nayoikubali sana.
Pumzika salama Don
The gambler, buy me a rose, island in the stream
 
Don, stay young. Mara ya kwanza kuisikia ni kwenye radio usiku, hata sijaujua unaitwaje, nilisumbuka sana kuupata. Wadau, nimezisikiliza karibu nyimbo zote zilizotajwa humu, nasoma uzi ukitajwa wimbo na ufata, nyingi niko nazo. Nilizozikosa nimesikitika kuzikosa...Yote kwa yote nimeinjoi kuwa na fimilia niliyoshea nayo hii kitu. Mbarikiwe nyote.
 
Dah,coppenhagen umeanzisha nyuzi nzuri sana aisee. huu wimbo wa RODEO MAN nilianza kuupenda baada ya kutoswa na demu ambaye alikuwa anatoka na mtoto wa mkuu wa mkoa wa polisi wakati mie kazini naenda na daladala kila siku na wala sikuwa na dalili ya kununua walau baiskeli.
Uzuri wa muziki wa country maudhui yake yanahuisha maisha halisi ya kijijini au watu wa daraja la kawaida wasiopenda kujikweza sana. Rip Don

...she wont sit down at your table,and i know that you cant hold her
she wont sit down with you cowboy
she is in love with a rodeo man
She's a bombing in a West Texas dance hall she's there every night till it closed in a cowboy..but she plays San Antonio rose. Huyu Mzee shida
 
Dolly Parton naye nouma. Kanipigia kibao eagle when she flies, family, country road, rocking years, if you go Al follow you, all the pain of loving you, silver and gold....
Umenikumbusha, leo sijakiweka kwa playlist hapa. Ngoja kiburudishe jioni yangu hapa. Msisahau na nondo za Bible ktk country music by the seekers na Judy in "turn turn turn"
 
Mzuka Wanajamvi.

Katika huu wimbo wake wa My heart to you ndiyo ilikuwa music video yake the humble Giant ya mwisho. Ilikuwa very simple and humble Na alimfanyia kwenye ranch yake.View attachment 623185 View attachment 623186 View attachment 623185 View attachment 623186 View attachment 623186 View attachment 623185 View attachment 623187 View attachment 623187 View attachment 623188
Check pozi la Don Na Swaga kwenye hizo picha. Halafu bofya hapo chini uchek hiyo video.

A great voice gone forever. We will always miss you and listen to your music.

A MASTERPIECE FROM THE MASTER HIMSELF!


Huyu jamaa no hatari zana. Alienda Zimbabwe "98 mapokezi yake ni hataru. Namkubali of course
 
Na Queen wao Dolly, coat of many colours
dolly parton nimefuta sana cassette za Mshua kurekodi mipini ya wana...ooh Mara jollyn dont take him just because you can..nafuta narekodi shankupe acha mapepe ya dudubaya..mwenyewe akiweka tape yake ananitukania mama wakati ni dem wake
 
dolly parton nimefuta sana cassette za Mshua kurekodi mipini ya wana...ooh Mara jollyn dont take him just because you can..nafuta narekodi shankupe acha mapepe ya dudubaya..mwenyewe akiweka tape yake ananitukania mama wakati ni dem wake
Duh! Jolie kuna wadada walimuiga wa kibongo lakini hata ule wimbo wa the boy is mine wa akina Brandy maudhui ni yake kabisa. Thanx, umenikumbusha kawimbo ka kichuo kuna mwana alikuwa akiupenda sana.
 
Back
Top Bottom