Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Ha ha haaaaSome memories never ends some tears will never dry my love for you never die.
Nikuchekeshe. Huu wimbo ulinichukua muda kutafuta YouTube Mimi nilikuwa nasechi coffee black Kumbe some broken heart
Na Queen wao Dolly, coat of many coloursIla Uzi wa mondi bila kumtaja kiba sio poa, hata Kenny nae nikisikia around the bay of Jamaica yaani hadi nywele zinasimama naweza sema don na ken level moja bhana
The gambler, buy me a rose, island in the streamKeny Rodgers na Dolly Parton watakuwa wapweke sana kuondokewa na patner wao kwenye country Music.
coward of the country" ndo faourite song ya Kenny nayoikubali sana.
Pumzika salama Don
Unaipenda hiyo nyimbo halafu you can't listen a thousand times?Kuna hit song moja naipenda sana I can't listen this song a thousand times a day "I have been loved by the best " pia "Jamaican farewell "
To be honest jamaa alikuwa extra talented
She's a bombing in a West Texas dance hall she's there every night till it closed in a cowboy..but she plays San Antonio rose. Huyu Mzee shidaDah,coppenhagen umeanzisha nyuzi nzuri sana aisee. huu wimbo wa RODEO MAN nilianza kuupenda baada ya kutoswa na demu ambaye alikuwa anatoka na mtoto wa mkuu wa mkoa wa polisi wakati mie kazini naenda na daladala kila siku na wala sikuwa na dalili ya kununua walau baiskeli.
Uzuri wa muziki wa country maudhui yake yanahuisha maisha halisi ya kijijini au watu wa daraja la kawaida wasiopenda kujikweza sana. Rip Don
...she wont sit down at your table,and i know that you cant hold her
she wont sit down with you cowboy
she is in love with a rodeo man
Nooo Kenny Rodgers hajafa bado mzimaMkuu Kenny alishatangulia kitambo.
We don't need no money honey you and I what we've got together Money cannot buy. Hi nayo no traditional country music"As long we got love we cant go wrong"
We Got Love- Don Wiliams
mkuu nitafanya hivyo dah you place gold on my fingers you gave life to our children.uwe unaunganisha na you are my best friend kwa kuianza siku vema mkuu
Dolly Parton naye nouma. Kanipigia kibao eagle when she flies, family, country road, rocking years, if you go Al follow you, all the pain of loving you, silver and gold....Na Queen wao Dolly, coat of many colours
Umenikumbusha, leo sijakiweka kwa playlist hapa. Ngoja kiburudishe jioni yangu hapa. Msisahau na nondo za Bible ktk country music by the seekers na Judy in "turn turn turn"Dolly Parton naye nouma. Kanipigia kibao eagle when she flies, family, country road, rocking years, if you go Al follow you, all the pain of loving you, silver and gold....
Huyu jamaa no hatari zana. Alienda Zimbabwe "98 mapokezi yake ni hataru. Namkubali of courseMzuka Wanajamvi.
Katika huu wimbo wake wa My heart to you ndiyo ilikuwa music video yake the humble Giant ya mwisho. Ilikuwa very simple and humble Na alimfanyia kwenye ranch yake.View attachment 623185 View attachment 623186 View attachment 623185 View attachment 623186 View attachment 623186 View attachment 623185 View attachment 623187 View attachment 623187 View attachment 623188
Check pozi la Don Na Swaga kwenye hizo picha. Halafu bofya hapo chini uchek hiyo video.
A great voice gone forever. We will always miss you and listen to your music.
A MASTERPIECE FROM THE MASTER HIMSELF!
mie bna tupac tu a.k.a makaveli,mambo ya changes,only god can judge me,hail marry,keep ya head up,i ain't mad atch ya n.kMzee ameacha legacy aisee,RIP DON
dolly parton nimefuta sana cassette za Mshua kurekodi mipini ya wana...ooh Mara jollyn dont take him just because you can..nafuta narekodi shankupe acha mapepe ya dudubaya..mwenyewe akiweka tape yake ananitukania mama wakati ni dem wakeNa Queen wao Dolly, coat of many colours
Duh! Jolie kuna wadada walimuiga wa kibongo lakini hata ule wimbo wa the boy is mine wa akina Brandy maudhui ni yake kabisa. Thanx, umenikumbusha kawimbo ka kichuo kuna mwana alikuwa akiupenda sana.dolly parton nimefuta sana cassette za Mshua kurekodi mipini ya wana...ooh Mara jollyn dont take him just because you can..nafuta narekodi shankupe acha mapepe ya dudubaya..mwenyewe akiweka tape yake ananitukania mama wakati ni dem wake