Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
Upate samaki wa jodari au sangara aungwe na tui la karanga..nakumbuka pale Morogoro kuna sehem panauzwa chakula asili..
Ndio kijiwe changu hicho hapa Moro, afu unashushia Na sharubati ya embe ng'ong'o au stafeli