Jospina JF-Expert Member Joined Apr 19, 2013 Posts 2,421 Reaction score 1,395 Feb 1, 2015 #21 Gogo la choo said: Upate samaki wa jodari au sangara aungwe na tui la karanga..nakumbuka pale Morogoro kuna sehem panauzwa chakula asili.. Click to expand... Ndio kijiwe changu hicho hapa Moro, afu unashushia Na sharubati ya embe ng'ong'o au stafeli
Gogo la choo said: Upate samaki wa jodari au sangara aungwe na tui la karanga..nakumbuka pale Morogoro kuna sehem panauzwa chakula asili.. Click to expand... Ndio kijiwe changu hicho hapa Moro, afu unashushia Na sharubati ya embe ng'ong'o au stafeli
Cathode Rays JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 1,738 Reaction score 1,495 Feb 1, 2015 #22 Revocatus Kashaga said: Ndio kijiwe changu hicho hapa Moro, afu unashushia Na sharubati ya embe ng'ong'o au stafeli Click to expand... Jamaa alinitesa kweli kumtafuta alipohama pale round about ya SUA...Nilimiss lile dona na samaki daaah mpaka nilipokuja kugundua kijiwe chake kipya ikawa hamu imepandaaa
Revocatus Kashaga said: Ndio kijiwe changu hicho hapa Moro, afu unashushia Na sharubati ya embe ng'ong'o au stafeli Click to expand... Jamaa alinitesa kweli kumtafuta alipohama pale round about ya SUA...Nilimiss lile dona na samaki daaah mpaka nilipokuja kugundua kijiwe chake kipya ikawa hamu imepandaaa