Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muumini wa nini sasaHivi muumini hawezi kumuomba Mungu mwenyewe mpaka aombewe na hao wanaojiita manabii?
Sio wanafanana tu hata bango alilobeba lina jina lakeNi kweli hata mimi nimemuona Donald Ngoma.
Nilishangaa sana.
Angalieni Ibada ya jumapili ya leo Jumapili ya Tarehe 22 / 07 /2918
Nimemuona kwa macho yangu akiombewa na kapona kabisa.
Kama ni sio yeye sijui ila wanafanana sana kila kitu
Akilimali ni balaa duniani!!!! Kanjubai alijifanya anamkoromea , na kumzibia posho!!! yaliyomwandama mpaka sasa hivi hajui pa kuanzia!!! watu wanajidanganya tuu !! atarudii!! mara kabembelezwa!!!! ninyi ndala efu sii ninyi wa kubembelezwa na mzeee ili alegeze na sii kanju. Na wewe kanjubai si ukampigie mzee magoti ili urudi kwenye chati??Mzee Akilimali achana na kijana wa watu mzee , mbona unambania ?
Kwi! Kwi! Kwi!Akilimali ni balaa duniani!!!! Kanjubai alijifanya anamkoromea , na kumzibia posho!!! yaliyomwandama mpaka sasa hivi hajui pa kuanzia!!! watu wanajidanganya tuu !! atarudii!! mara kabembelezwa!!!! ninyi ndala efu sii ninyi wa kubembelezwa na mzeee ili alegeze na sii kanju. Na wewe kanjubai si ukampigie mzee magoti ili urudi kwenye chati??